Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Tatizo la umaskini(hasa hasa wa Afrika),Akitokea mtu mmoja akawa tajiri,wale maskini badala ya kumuombea na kujivunia mmojawao katoboa,kwanza wanaanza kumuombea mabaya,wanatamani,ashuke,awe kapuku,kama wao,hiyo ndio furaha yao,.
Unakuta katika ndugu Tena wa tumbo moja,badala ya kufurahia mmoja wenu Kawa tajiri,ndio kwanza wanakuwa adui wako.
Wanatamani ushuke,upigike Ili wapate Cha kusema.
Sasa kukonda sio lazima utumie unga,unaweza kukonda kwa matatizo Mengi tu!!
Sasa huyu mbwiga anatoa comment hii baada ya Mond kukili mwili wake unapungua!kwanini hakusema kabla!!
Huyu nae ameishafirisika,wasanii wamemshinda,sasa label inakufa anaunda kundi!
 
Balaa
 
Na ndo maana kipindi magu anawafunga matajiri masikin wengi walikua wanashangilia kwa kuamin kwamba anaweka usawa kwa wote
 
Binaadamu akianza kufeli ni kawaida kuona kila mtu anajua na anamcheka.
Hivyo hali ya chuki humuanza na kuona kila mtu ni mbaya
 
Kwani akitumia na asipotumia sisi tunafaidika ama tunapungukiwa na Nini hasa?
Kuchagua Ni kupanga na kupanga Ni kuchagua, Kama Ni mtumiaji wa mihadarati Basi hiyo Ni kwa faida take mwenyewe Sasa kwanini mtoa mada unakuwa na wasisi juu ya Hilo?
 
Umeandika vizuri sana
 
Kwani akitumia na asipotumia sisi tunafaidika ama tunapungukiwa na Nini hasa?
Kuchagua Ni kupanga na kupanga Ni kuchagua, Kama Ni mtumiaji wa mihadarati Basi hiyo Ni kwa faida take mwenyewe Sasa kwanini mtoa mada unakuwa na wasisi juu ya Hilo?
Yy ni celebrity mbona hoja yangu ni nyepesi tuu...hujawahi ona wanaomuuliza kwanini hakai na mwanamke mmoja? Yani yy tutamuandama tuu atake asitake yawe ya kweli au uongo
 
Kweli mkuu..ila kwa jinsi anavyo act act siku hizi kama kweli vilee..
Itafahamika tu.
muda mwingine tunayaona zaidi ya wengine kuliko yetu.
Jiulize kwann konde analalamika sana. Jiulize kwann anajiona yupo mbali wakati bado hajasogea.
Huyo mondi anamiyeyusho yake kibao na kama anakula unga mbona dunia haina siri ila isije ikawa msema ndio mtenda
 
Sijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…