Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Hii imeenda...
Tuanzie tulipoishia
 
Kwa muonekano wake wa sasa naamini,siku ile ameenda kwenye tamasha la yanga jangwani alikua bwiii
Na ameanza muda mrefu Sana kula unga. Umeshamchosha damu kabisa. Management yake isipokuwa makini iko siku ataanguka jukwaani na ndiyo mwisho wake. Kwa sasa yuko weak Sana. So sad😭😭
 
Ni kweli anatumia
Muda utaongea👌
Punguza kuandika parandesi
Kwani anakulipa au mlamba makalio yake👌👌🤣
Hii ya Diamond kutumia madawa nilijua muda mrefu mno kabla hata ya hiyo Mange Kimambi kuja public. Kifupi tusibishe Sana kuhusu hilo bali tumuombee aweze kuacha.
 
Kama mtakumbuka pia kwenye sakata la Makonda na Wauza unga Diamond naye aliitwa Central police. Yeye aliitwa kama Moja ya chain ya watumiaji ili kubanwa ataje anayemuuzia. Issue inajulikana. Si msanii peke mla unga, wako wengi tu bila kusahau bangi. But Mond ni madawa grade 1 alivyoaminishwa. Ila ndiyo yanammaliza sasa yaneshakolea kwenye damu.
 
Kitendo tu cha kumfanya Mange kuwa source yako ya taarifa ni dalili tosha kwamba huna uwezo wa kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yako.
 
Kitendo tu cha kumfanya Mange kuwa source yako ya taarifa ni dalili tosha kwamba huna uwezo wa kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yako.
Una uhakika gani kwamba Mange ndo chanzo changu cha taarifa? Wewe mpuuzi kuanzia leo jua kuwa Mange hana taarifa nyingi sana ya mambo mengi ya Dar. Kuna baadhi ya mambo angeyafahamu ingekuwa balaa zaidi. Dar mitaa ya Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama na Sinza ina mambo machafu sana yanayofanywa na hawa wanaojiita masupastaa.
 
Wewe mpuuzi nini, sasa hizo taarifa unazojisifia kuwa nazo za mitaaa ya Dar, zinakusaidia nini katika kukukuza kiroho, kijamii, kiuchumi au kitamaduni zaidi ya kukufanya uwe mjinga mjinga zaidi.

Jifunze kutumia muda wako kwa manufaa yako na kizazi chako kama unacho, badala ya kutumia muda mwingi kufuatilia maisha ya watu. Shez type.
 
Na wewe ungetumia muda wako kutojibu comments zangu ungekuwa mbali sana kimafanikio. Unafiki ulio nao ndo unakufanya uendelee kuwa mpumbavu na maskini.
 
Juzi jumapili nimeona Giggy anahojiwa amekonda au amejikondesha ila anaonekana huyo "high" na yupo weak. Kuna uwezekano mkubwa naye anabwia na labda wanabwia naye.
 
Kwa muonekano wa sasa wa huyo Diyamond na Body Language yake haiihitaji taarifa ya Konde Bwoy au MangiKimavi kuthibitisha Ulaibu wake wa Unga.
Time will tell wakuu🙏
 
Na wewe ungetumia muda wako kutojibu comments zangu ungekuwa mbali sana kimafanikio. Unafiki ulio nao ndo unakufanya uendelee kuwa mpumbavu na maskini.
Mimi nimempuuza huu uzi ange udislike tuu akakaa kushoto...
 
Juzi jumapili nimeona Giggy anahojiwa amekonda au amejikondesha ila anaonekana huyo "high" na yupo weak. Kuna uwezekano mkubwa naye anabwia na labda wanabwia naye.
Anabwia nasikia...huyo long tym...
 
Wajinga wote duniani huamini serikali zao.

Wajinga wote Tanzania ni wafuasi wa Mange kimambi
Mjinga ni yule pia anaesoma kitu cha mjinga na kupoteza muda wake kwa mjinga kujibu ujinga..
 
Kwa muonekano wa sasa wa huyo Diyamond na Body Language yake haiihitaji taarifa ya Konde Bwoy au MangiKimavi kuthibitisha Ulaibu wake wa Unga.
Time will tell wakuu🙏
Soon as possible...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…