Ni kweli Dodoma jiji kuna utekaji watoto?

Ni kweli Dodoma jiji kuna utekaji watoto?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume tunapambana hapa DSM. we are worried.

hali kama hiyo hapa DSM ilishalalamikiwa, serikali haina intelijensia? wanashindwa nini kutokomeza hii hali once and for all? au haipo inajali tu uchaguzi wa mwakani.
 
Back
Top Bottom