Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
SHIDA ZIMEZDI MPAKA KAMEZEEKA!Nilikua napitia kikosi cha U_23 kilichoitwa Leo na TFF.
Jina lake lipo.
Hivi ni kweli jamaa kazaliwa 1994!
Mbona hata Shishi Baby piaNilikua napitia kikosi cha U_23 kilichoitwa Leo na TFF.
Jina lake lipo.
Hivi ni kweli jamaa kazaliwa 1994!
Atakua kazaliwa 1987Wewe unahisi kazaliwa mwaka gani labda?
Ha ha ha ha kwanini mkuuAtakua kazaliwa 1987
Nimzee kabisa hata ukimwangalia tu hahahaHa ha ha ha kwanini mkuu
Ahaaah ahaaa namjua huyu kijana tangu akiwa mdogo,akikaa kijitonyama na kucheza mpira Chuo cha Ustawi wa jamii.Nimzee kabisa hata ukimwangalia tu hahaha
HahahaAhaaah ahaaa namjua huyu kijana tangu akiwa mdogo,akikaa kijitonyama na kucheza mpira Chuo cha Ustawi wa jamii.
Ni kijana mdogo Ila kuwa U-23 hapana.
MBONA WEMA SEPETU BADO ANA MIAKA 23 NA HAIONGEZEKI NA JOKATE ANA 23 NA MDOGO WAKE 23 NA WOTE WAWILI WAME-PAUSE MIAKA YAO.HAIONGEZEKI