Ni kweli Emanuel Martin wa Yanga ni U_23?

Ni kweli Emanuel Martin wa Yanga ni U_23?

Kwa vile Nyinyi Mikia a.k.a Bi Hindu Fc mmejaza Vikongwe timu nzima ndio mnajua na Wakimataifa ni hivyo pia,poleni sana. Mchezaji mdogo kuliko wote wa Mbumbumbu fc ana miaka 31.
 
[QUOTSio Frank Wanjiru, post: 24278431, member: 80804"]Kwa vile Nyinyi Mikia a.k.a Bi Hindu Fc mmejaza Vikongwe timu nzima ndio mnajua na Wakimataifa ni hivyo pia,poleni sana. Mchezaji mdogo kuliko wote wa Mbumbumbu fc ana miaka 31.[/QUOTE]
Mimi sio shabiki wa matopeni ,nimeuliza tu.
By the way,Jamal malinzi anaendeleaje!!?
 
Age is just a number wakuu, relax, mention any. Kwani unaomba kazi govt? Mi Nina 19
 
Eti [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] FC kuna Mchezaji anaitwa Puppy ?
 
Ahaaah ahaaa namjua huyu kijana tangu akiwa mdogo,akikaa kijitonyama na kucheza mpira Chuo cha Ustawi wa jamii.
Ni kijana mdogo Ila kuwa U-23 hapana.
Yule ni under 30!
 
607c8a64fc58d70e0aa5fd998a012222.jpg
 
Back
Top Bottom