Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwa vile Nyinyi Mikia a.k.a Bi Hindu Fc mmejaza Vikongwe timu nzima ndio mnajua na Wakimataifa ni hivyo pia,poleni sana. Mchezaji mdogo kuliko wote wa Mbumbumbu fc ana miaka 31.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata aisha manuraMbona hata Shishi Baby pia
Yule ni under 30!Ahaaah ahaaa namjua huyu kijana tangu akiwa mdogo,akikaa kijitonyama na kucheza mpira Chuo cha Ustawi wa jamii.
Ni kijana mdogo Ila kuwa U-23 hapana.
Si ndio hapo? Uyu jamaa atakuwa thimba!MBONA WEMA SEPETU BADO ANA MIAKA 23 NA HAIONGEZEKI NA JOKATE ANA 23 NA MDOGO WAKE 23 NA WOTE WAWILI WAME-PAUSE MIAKA YAO.HAIONGEZEKI