The black panther
Member
- Jul 18, 2020
- 7
- 2
Wakubwa kwema!,jamani Mimi nilikua nauliza je Kuna ukweli wowote kwamba sigara aina ya embassy imetengenezwa Kwa kiwango cha juu kidogo kulikoni hizi sigara zingine,maana nilimsikia mzee mmoja alisema kwamba emmbacy ni zero nikotini tofauti na sigara nyingine kwahiyo ni salama kidogo je Kuna ukweli wowote?