Ni kweli Fumanizi mara nyingi humarisha ndoa...!

You are unique kwa hilo

Nakupongeza

 
Mimi napenda sana kufumania, kwa sababu kuna ukweli uliojificha na ambao huwa atupendi kuuongelea sana, kwamba katika hasira za kufumania swali la kwanza huwa ni kwanini umefanya hivi, pamoja na kuwa linakuwa limeghubikwa na hasira lakini ukweli ni kwamba huwa kuna kiu ya kutaka kujua sababu ya kwanini mwenza wako amefanya hivyo, ndipo nawe utataka kufanya ufundi pengine uliosahaulika mliokuwa mnafanya mwanzoni mwa mahusiano yenu au kudadisi mbinu za ziada ili kumuonesha kwamba hujachuja na kwa kufanya hivyo mnajikuta mnafanya tendo la ndoa katika kasi ya ugeni!

Pia katika somo moja wapo nililosoma (linapatikana kwenye mtaala wa taaluma niliyosoma mimi) mwandishi wa somo hilo anaeleza ni jinsi gani binadamu alivyokuwa (Begging Animal) tuchukulie ulaji kama lengo la kula ni mtu ashibe apate nguvu na kuendelea kuishi kujimudu na kufanya majukumu yake, kwanini kuwepo aina tofauti za mapishi kwa kila mlo? ni kwa sababu ya kuwa na uchovu wa hisia kwamba huwezi kula kwa mfano wali kila siku,ila ubwabwa, pilau, biliani nk nk. Na hata katika mavazi hakuna anayeweza kuvaa aina moja ya nguo kwa wiki achilia mbali mwezi, lazima itachokwa na kubadilishwa kwa nyingine.

Tunachosahau ni kuwa ubongo unao control vitu vya nje kama chakula, mavazi na hata kutopenda kukaa sehemu moja bila kutembea au kuhamia kabisa sehemu nyingine, ndio ubongo huohuo unao control na hisia za matamanio ya kujamiiana. Maelezo haya au mfano huu unaelekeza kwamba itakuwa vigumu ndoa kudumu miaka mingi bila kuibiana/ kutoka nje ila tu tunapokuwa hatujakamatwa/ kufumaniwa kila mtu ni mwaminifu katika ndoa yake. Na pia si kweli kwamba huyo aliyetoka nje ya ndoa yake anakuwa amefuata mapenzi hapana ni ngono tu kubadilisha mazingira huku akiwa mapenzi kayaacha kwa mwenza wake nyumbani. Ukiona mtu mnakutana kwa ngono na kisha akakwambia nakupenda kuliko mke wangu au mume wangu NI MUONGO NA KWELI HAIMO NDANI YAKE KABISA.
 
Hapa naona kama ulikiuka kiapo cha ndoa vile! manake katika kiapo cha kwetu sisi ninakoabudu huwa kinaambatana na sala isemayo "ndoa yenu na iwe na baraka tele mpatiwe uzao wa watoto waizunguke meza yenu" sasa ikiwa ndio lengo kuu na pia uzazi unao na wanaotaka uzae wapo si ingekuwa heri ukayatenda hayo?
 

wanaotaka? oohhh puliiiiz! hiyo red tayari umeshasema unakoabudu, ninakoabudu mie hakusemi hivyo.
 
Dah!

Pole aisee

KAma hiyo ndio ilikuwa sababu ya kutoka nje, kweli ilikuwa haki yako kumtesa vile
Ni bora mtu hata aeme alipitiwa kuliko aliamriwa na mama yeke, kama teen.

usitake ukumbane na mwanaume "mtoto wa mama", nimempeleka kijeshi sasa hivi kawa "mtoto wa baba"
 
Kwa swala la kufumania... mke akifumaniwa anakuwa katika hali mbaya zaidi na kulaumiwa.. tofauti na mwanaume akifumaniwa.. ndo sababu mwanaume anaweza kuoa wanawake wanne lakini mwanamke hawezikuolewa na wanaume wanne... katika maandiko ya Biblia .. Biblia imeruhusu talaka kwa pande zote kuachana... Uzinzi pekee ndio unaoweza kuvunja ndoa kinyume na hapo .... mpaka kifo kiwatenganishe Kumb 24 ;1 -4, Marko 10:4 - 12 Math 5 ;31 - 32
 
Inaboa sana

Inakufanya mke ushindwe kucheza na nafasi yako kwa uhuru

khaa, ilipitiliza aise, kitu kidogo mama atafikiria hivi atahisi hivi atachukulia hivi kasema hivi,alaa siku hizi hamna hizo tena.
 
Mm nimiwazaga tu kufumania naumwaga na roho balaa thatha sembuse nifumanie afu nisamehe....haitatokea aiseekea kwangu itavunja ndoa instead ya kuimarisha.
 
Uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…