Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 445
Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA KATIKA LOVE POT ya msichana. Note: si uchafu coz no irritating smell! Je, hii inasababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu!
Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA KATIKA LOVE POT ya msichana. Note: si uchafu coz no irritating smell! Je, hii inasababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu!
Brush imeingia na kukwangua kila sehemu.
Inategemea na jinsi alivyokuwa anajisafisha.
Kama alikuwa anatumia kidole na kuosha ndani (wengine hawashauri), kwa kiasi kikubwa hakutakuwa na discharge nyingi. Ila kama anaosha juu juu, obvious ukija kuingia hiyo kitu italiwepo.
Tahadhari, check color, odor na jinsi discharge ilivyo; yaweza kuwa fungal infection.
Pia cycle inahusika kujua lini kuna discharge nyingi na lini hakuna.
Mwisho; YES it can mean hajachakachuliwa!
Sijui kama kakuelewa!!..
Wacha kujifariji,
Yaweza kua mjanja kakuwahi zikakukia humo.
Sio kila ving'aavyo ni dhahabu!!
Anyway sijui nieleze vipi hapa manake pana tuterminology tugumu.
vaginal discharges zipo za aina kuu 3. huweza kuzitofautisha kwa jinsi ambavyo ziko viscous na kipindi ambacho binti/mwanamke anapita.\
soon after menstruation hupata discharge ambayo ni ni kama maji maji kabisa and this is viscous ila siyo thick sana utando uhutokana na mixing up ya a certain horomone ambayo hutoka ili kuanza kuandaa mji wa mimba kwa maana ya kuusafisha na kuondoa anything ute huu hata kwenye chupi huwa hauchafui na ukikutana na binti wakatihuu huweza kuona kama uume wako umechafuka majimaji kama mziwa lkn mepesi.
wakati wa ovulation hapa ute huu huwa mwepesi yaani less viscous hapa hufanyiika hivi for the sake of easy peropalsion of a sperm. ute huu huwa mwepesi sana na hapa huwez kuona uume ukiwa umechafuka manake hata weupe wake ni mwepesi zaid kwa baadhi ya akina dada.
baada ya ovulation ute huu huwa mzito yaan more viscous na huu kwa wengine huweka utando ambao ni mweupe mzito huu huwa hivi ili kuprevent propulsion of a sperm na mara nyingi sana huu huchafua chupi kwa baadhi ya akina mama. kwa wale ambao wanapanga uzazi wanaweza kutumia tu aina ya discharge ili kupanga uzazi ni njia sahihi tu kwa mwanamama anayeujulia mwili wake.
aina ya discharge pia inaweza kutumika kipimo cha mtu kuwa hajafanya tendo la ndoa siku nyingi kwasababu hapati dilution na nafikiri tutakubaliana kwamba mara nyingi sana kwa baadhi ya akina mama huwa semen za mwanaume hubaki kwenye miili yetu hata siku 3 ama mbili so huweza kufanya dilution ya discharge na hivyo kuufanya ukawa mwepesi.
ikumbukwe kwamba ute huu uwe mwepesi ama mzito ukiambatana na harufu na rangi kama pink ama brown kunainfection so ni vyema kumuona daktari mapema.
mtanisamehe sana kwa aina ya kiswahili hiki manake nilikuwa najitahd kuandika biology in kiswahili so imeniwia vigmu sana but hope mmepata mantiki.