Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hi inasababiswa na wanawake wenu wakibara kuto kujiosha tupu zao na maji na naam huwo ni uchafu kwa kiswahili unaitwa utoko upo kaka kwa hivyo usiwaumbue hazarani wanawake wenu wachafu wa kibongo natema mate kidogo pooow poow.
hi inasababiswa na wanawake wenu wakibara kuto kujiosha tupu zao na maji na naam huwo ni uchafu kwa kiswahili unaitwa utoko upo kaka kwa hivyo usiwaumbue hazarani wanawake wenu wachafu wa kibongo natema mate kidogo pooow poow.
Wanawake mambo kama haya hutawaona wengi wakichangia lakini ukiweko uzi kuhusu wanaume kupiga bao moja lakini hawajui kuna baadhi ya wanaume wasiojua kuwa wanawake wanatoa huo ute kwasababu ya kuulinda uke kwa bacteria, baadhi ya wanaume baada ya kuona huo ute wanakosa kabisa hamu ya tendo.
hapana hii ni wrong perception tena yaonekana hujui kabisa physiology of women reproduction. mfano what do you think when an ovary releases an oocyte to the fallopian tube? what is the function of Lutenizing hormones? what are their types and xstics? jibu hapo halafu twende sawa.
bado utando mweusi tu lol
Haya sasa Dezo kuja hapa utoe majibu wenye fani wanataka wakutoe umbumbu wako kuhusu UTOKO...
hahahahah lol! Best buibui yupi unayemzungumzia hapa. Buibui ambaye ni buibui au Buibui mwingine mwenye utando mweupeeeee 🙂🙂
Mweeh!labda ni lesbian
wacha kujifariji,
yaweza kua mjanja kakuwahi zikakukia humo.
Sio kila ving'aavyo ni dhahabu!!