Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaah mbona hiyo rahisiSheria ya nchi inasemaje kuhusu hili suala maana wanaposema wanapata mpaka communications ina maana mpaka maongezi ya simu, sms,emails nk. Je, TCRA inasemaje kuhusu privacy za wateja wa makampuni ya sumu?!
Kuna jamaa wako Moshi
maeneno ya maili sita
Kama haki yako hukuipata mahakamani na una evidence
Basi hukulipizia kisasi kwa gharama nafuu
On line of duty death rates zikoje???!!!
ukipata namba zao ni forwadie na mienipe namba zao
umesikia wapi?
una link?
Sheria ya nchi inasemaje kuhusu hili suala maana wanaposema wanapata mpaka communications ina maana mpaka maongezi ya simu, sms,emails nk. Je, TCRA inasemaje kuhusu privacy za wateja wa makampuni ya sumu?!
Natural checks!!!!
I hope wanajua line za ku cross!!!!
Otherwise, i guess they have their "body bags" just in case!
samahani mkuu unzungumzia nini? mbona kama umechanganya habari hivi au mimi sijakuelewa
Kuna jamaa wako Moshi
maeneno ya maili sita
Kama haki yako hukuipata mahakamani na una evidence
Basi hukulipizia kisasi kwa gharama nafuu
Mkuu;
Hope utakuwa umechanganywa na hapo kwenye "so does CCM e.t.c!" Hujui maana ya sentence hiyo au?
Kama unajua maana yake(jambo ambalo naamini ndio msingi wakutonielewa),nipe fasiri yake then kama kutakuwa na shida still, nikupe ufafanuzi.
haaya bhwana!tumenasa mawasiliano. sorry mkuu nilikuwa nimetoka usingizini
TISS itafanya kazi gani tena? au wataachwa walinde viongozi tu?...
ukipata namba zao ni forwadie na mie
then utanijulisha mazungumzo yako yameendaje nao
Tena naona zimechelewa sana,kwa wenzetu ni mambo ya kawaida kabisa,naonawengi humu mnaopinga mmeguswa na Matrimonial Surveillance, Relationship Investigations
Naamini aya mambo yapo kabisa. Coz issue imefanyika state-house, halafu unasikia CHADEMA wanairusha hewani bila ata chembe ya hofu(i.e kwa kujiamini kabisa).
So does CCM e.t.c !
Death rate minimal to none
Au kama casualty zipo basi haziwi documented
Ila in America and UK private detective ni wengi sana
Kwa urahisinipe namba zao