Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Nimeona hizi tuhuma kwa Dr.Newton mhenga…🧑🏿⚕️ nikasema niwaulize wataalamu wa afya waliopo humu kama zina ukweli wowote. Millenials wengi tumetibiwa na hawa COs. Zamani zile madaktari walikua wachache na kuwapata hadi hospitali kubwa.
Zahanati na vituo vya afya huduma zilitolewa na COs na walikua nondo kweli. Je nini kimebadilika? Tatizo ni kushusha entry point hadi D3 kama alivyosema daktari hapo juu, au tatizo ni vyuo kukosa uwezo na hospitali za mazoezi, au ni kwa sababu madaktari wamekuwa wengi kwahiyo COs wanakosa nafasi ya kuractice??
Hili ni suala nyeti maana linahusu afya zetu Wizara Ya Afya, Medical Council of Tanganyika, Medical Association of Tanzania.
By Malisa G.