Kwani ni kazi gani inatoa wataalam wenye weledi kwa sasa? Tumedilute elimu kila idara/kona na tunategemea matokeo tofauti?
Hii ni reflection ya jamii ya sasa kaka Kama unaona CO weupe hebu jaribu MD, engineers, wahasibu, majaji, mahakimu, wanasheria, maafisa wa polisi, magereza kama yule bwana jela, wanajeshi na wengine wote! Huwa najiuliza hizi div 1 kali baada ya chuo huwa wanatumika wapi tisiwaone? Mbona tumeoza kila mahali?