#COVID19 Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

HV kwenye kichupa kile chenye chanjo inaweza kuchanja watu wangapi kichupa kimoja au Kila kichupa na mtu wake mmoja


Basi ikiwa kichupa kimoja kinaweza kuchanja watu kumi bas vichupa viko milioni Moja hvyo nategemeaa watu milioni kumi watapata chanjo ama vip
 

Uko sahihi kabisa. Chamsingi hapa ni uelimishaji. Kuna baba alichoma ikawa kama ameitibua. Hali ilikua mbaya sana, katika mazingira kama hayo, watu wanaweza kusema side effect za chanjo kumbe ni kutokuzingatia masharti ya watengenezaji.

Ilionekana alikua na dalili za homa na kifua awali.
 
Mkuu chanjo ulizochanjwa maishani mwako au tuseme hata sindano za kawaida unazochomwa umeshawai ulizia zina expire lini?
 
Mkuu chanjo ulizochanjwa maishani mwako au tuseme hata sindano za kawaida unazochomwa umeshawai ulizia zina expire lini?
mkuu hapa tunaongelea chanjo ya Covid kama unalo jibu liweke hapa
 
Hizo chanjo ziliisha expire tangu zipo huko marekani, hayo yaache cha msingi kachanje
 
mkuu hapa tunaongelea chanjo ya Covid kama unalo jibu liweke hapa
Kama umeamini mamlaka iliyokuchanja hizo chanjo nyingine ndio mamlaka hiyo hiyo inakuchanja hii ya Covid ie kwa hapa kwetu Wizaya ya Afya.
 

Gwajima aliambiwa na Mkurugezi wa moja ya kampuni ya kutengeneza chanjo kuwa wameweka chip kwa ajili ya utambulisho na ufuatiliaji. Kama hiyo ni kweli viongozi wote walio chanjwa wanatambuliwa na wanafuatiliwa nyendo zao zote huko majuu kwenye database ya chanjo.

Itabidi kiongezwe kifungu kwenye sifa za kuwapata viongozi cha kusema awe ambaye hajachanjwa. Na itakuwa rahisi tu. Ukitaka kuwa Kiongozi wetu tunakupitisha kwenye barcode reader machine ikilia alarm sifa zote nyingine zinajifuta automatically. Hutufai kwa manufaa mapana ya Usalama wa Taifa, kaongoze familia yako na kafanye mambo mengine.
 
Namimi ndio swali langu kwa wadau wa chanjo
 
Mkuu hii umechukua kule google na hii ilikuwa mjadala kuhusu Johson & johnson kule marekani hii haina uhusiano na hizi zilizoletwa hapa.......
Kwa hiyo hizi za huku hazikutoka kiwanda cha marekani au?
 
Hao ni wahuni tu uenda hii operation ya chanjo imelenga kuua members wa legacy ya magufuli kwa kuwachoma sumu special
 
Mkuu hii umechukua kule google na hii ilikuwa mjadala kuhusu Johson & johnson kule marekani hii haina uhusiano na hizi zilizoletwa hapa.......
Kwa nini haina uhusiano?Kwani chanjo si hiyohiyo?
 
Usichokijua na ambacho hutakaa ujue ni kwamba nchi yako haina Serikali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115]mnafiki ulikuwa unamponda magu leo unasema mambo ya chanjo nchi haina serikali [emoji1787][emoji1787]tuliwaambia wapumbavu wanaofurahia kifo cha magu mtajuta na
HALI ZENU ZA MWISHO ZITAKUWA MBAYA KULIKO ZA MWANZO
 
Mkuu swali linasema hizi chanjo zina muda wa kuisha matumizi?
Hakuna kisichokuwa na muda wa kuisha na ndio maana zitakuja kwa batch. Hizi milioni 1 mwaka huu zinaweza zisitoboe. Ukiwa na wasiwasi, kabla ya kuchanjwa waombe uangalie tarehe ya kuisha muda wake.
 
CCM haijawahi kuipa Tanzania serikali.CCM ni kikundi cha kigaidi.Mimi adui yangu ni CCM wala siyo kiongozi fulani ndani ya CCM.Magufuli nilimpiga vita kwa sababu ni CCM na pia Samia nampiga vita kwa sababu ni CCM.CCM haijawahi kuwa na nia ya dhati na nchi hii.
 
Mzigo Unaoneka January Utakuwa Ndiyo Mwisho Yaani Utakuwa Wa Moto. Mnakumbuka Malawi Walizichoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…