Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu akijitahidi kuweka dau lakuchukua rasilimali isiyohamishika.
Dah [emoji22], hii dunia inanipita sana tangu kuzaliwa Kwangu nimekuwa mtu wakuchukua mataputapu tu mijimama isiyoweza hata kutembea, sijui nitumie njia gani namm nipate uterezi kama huu hapa chini maana Kuna watu wanaifaidi hii dunia jamani, sisi tupotupo tu. [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]