Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Kwako tu mzee, mimi nawapata nikitaka na nitawapata tu.Sasa Hao kwanza maisha yao na yetu Kuna daraja kubwa sana linalotutenganisha, kama hicho kihalfcast cha kwanza ni maisha ya juu wanaishi sisi watoto wa manzese na buza ndotype zetu
Sasa unakubali kwamba hujawahi kuona wanawake wazuri, huwezi ukasema Passo ni bora na nzuri kuliko Mercedes Benz na BWM kwa sababu tu hauwezi kumiliki Mercedes na BMW hapo utakuwa unajiongopea mwenyewe.