Ni kweli huyu msichana anaishi duniani?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu akijitahidi kuweka dau lakuchukua rasilimali isiyohamishika.

Dah [emoji22], hii dunia inanipita sana tangu kuzaliwa Kwangu nimekuwa mtu wakuchukua mataputapu tu mijimama isiyoweza hata kutembea, sijui nitumie njia gani namm nipate uterezi kama huu hapa chini maana Kuna watu wanaifaidi hii dunia jamani, sisi tupotupo tu. [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

 
Trako ndio limekuchanga hapo otherwise ni wa kawaida sana
 
Ulimgawia nani tuakili twako mpwayungu?Kajinga weye!
 
Ndio maana Mh.Waziri amewasifu wanawake wanaongoza kulipa mikopo!! Sasa hapo kuna nn cha Ajabu...
 
Kwa kipi sasa adi unatak umkufuru Muumba wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…