ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
unawafuatilia sana eeKuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!
Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!
ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!
Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
Yale makampuni yaliyofanya booking sijui vepeHii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.
Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!
Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Itarud tena ikifika miez9Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.
Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!
Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.
Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!
Ni mimba ya kipekee sana hiyo.