olonyor engai
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 173
- 49
We mwanamke una hatari ile hakunaHa ha ha ha ha kwahiyo jecha kafuta mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwanamke una hatari ile hakunaHa ha ha ha ha kwahiyo jecha kafuta mimba
Wanataka kuona watz watasemaje juu ya muonekano huo
Tuli eleza tumbo tupu lile jamaa alijaziwa ushunzi,Ok neeeext.Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!
Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!
ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!
Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
Ha ha ha ha ha kwahiyo jecha kafuta mimba[/QUOTE Itakuwa
Acha mzushia mjomba wangu NGWENDU hawezi fanya huo ujinga...huyo JAFO ana pesa gani ya kununua ubunge?!Kingwendu ana mpunga nw, nasikia alipewa milioni kadhaa auze ushindi kwa ccm so sahivi yupo nje anatumia pesa
Sijasema kanunuliwa na mtu bali chama, ndo hizo tetesi nilisikiaAcha mzushia mjomba wangu NGWENDU hawezi fanya huo ujinga...huyo JAFO ana pesa gani ya kununua ubunge?!
Khaaa! Kumbe CUF waliuza Kisarawe?Sijasema kanunuliwa na mtu bali chama, ndo hizo tetesi nilisikia
Mie anaeniblock anajisumbua nna id kumi akiblock ntamfollow tena lol....hahahah, huyu Ney sasa washamuhara.
halafu kama wewe team Mond, ukiweka dp ya red kwa insta (red ni official colour ya WCB) unachezea block kwa team range,....upo nyonyo?