Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!

Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!

ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!

Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
Tuli eleza tumbo tupu lile jamaa alijaziwa ushunzi,Ok neeeext.
 
Kuna wakati mwingine huwa namkumbuka sana Baba Mwanaasha, maana mtafaruku kama huu angeshawaita ikulu kuwapatanisha kabla ya valentine day.
Hahahahaaa kale 'kaugomvi' ketu design tukapotezee hivi?
Maana siku hizi unanifurahisha sana.
cc Mgibeon
 
Mi nilijua tu pale hakuna kitu ila nilikuwa nasubiria cku tu zisonge
 
Wanaume bana kama vile hatuna akili eti yaani Wema nae bado anamnyima mtu usingizi, huyu huyu Wema Sepetu? Kila mwanaume akiwa staa anampitia.
Wacha niishie hapa TeamWema wasijekuniita majina ya ajabu ajabu kisa nimesema ukweli
 
Kingwendu ana mpunga nw, nasikia alipewa milioni kadhaa auze ushindi kwa ccm so sahivi yupo nje anatumia pesa
Acha mzushia mjomba wangu NGWENDU hawezi fanya huo ujinga...huyo JAFO ana pesa gani ya kununua ubunge?!
 
Back
Top Bottom