Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.

Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!

Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Sina budi kucheka kwakweli.... [emoji23] [emoji23]
 
Kuna kitu kinaendelea Insta na ni dalili kuwa Idris Sultani na Wema Sepetu wamebwagana Baada ya Idris kugundua hamna Cha kijachoo!

Nimeona Nay wa mitego kapost na Soudy naye akarepost alicho post Nay!

ukipita katika Account ya Idris Insta utaona maneno ayao andika ni kama kuna kibutiii kimetembea!

Nashangaa ile kukiss hadharani na Mapenzi hadharani yamekwishaa?? Duuu hii bongo bana ni kutafutiana Kick! pamoja na Majina ya Dr.Mwaka, Baba kijacho!
Wema hana abadu kabisa, kwenye interview na Diva wa clouds akamwita demu wa zamani wa Idrisa a baggage. Ikabidi idrisa aje juu na kutaka neno hilo liondolewe ili kulinda heshima ya demu wake wa zamani. Kiunyonge Wema aka-withdraw, lakini hata baada ya hapo ukimwangalia Idrisa anaonekana kama vile ali-mind. Ndo mastaa wetu wa Kibyongo walivyo.
 
Watakuwa wanatafuta kick kwa ajili ya tamasha la Valentine aliloliandaa Wema.

Hapa wanavuta attention ya mashabiki tu, na ninadhani hao wanaosambaza hizo taarifa wamelipwa.
Hata kama Kiki ndo ajisingizie ujawepesi kweli na hajawahi walau kuwa na mtoto huyu mwanamke wa ajabu sana.
 
Maskini Wema hii damu ya kunguni kaipata wapi? Ni nani kamfanyia jambo baya kama hili?
Kuna kitu aliandika kuhusu kutopata mtoto aliandika kwa hisia mno na nilimhurumia saana anahitaji faraja zetu sote kama binadamu yoyote yule mapungufu yake tumuachie mwenyewe nobody is perfect
Ww umenena hakuna mkamilifu chini ya jua
 
Mrekebisha tabia huwa anajifanya team wema,leo kakosea badala kupost kwenye fekero account kaiweka kwenye account yake kaumbuka,teh team wema wanaumbuana tu huko....
Mwenyewe nimemshangaa tena amepost two times
 
habari iliyonifikia hivi punde, wema amejifungua watoto mapacha wakike na wakiume. idris na wema ambao kwa sasa wanaitwa baba na mama wawili wameamua kumpa mtoto wao wa kike jina la ZARINA a.k.a zari na wakiume NASIB a.k.a simba. hongera dada wema. tumepata anko wa taifa
 
Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
Screenshot_2016-02-13-20-32-52.png
 
Back
Top Bottom