Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Aiseeee
Mbona kama uongo huu!! AISEE YANI NI KAMA MOVIE
UMEITOA WAPI HII
I mean mate yananimwagika
 
Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Khaaaaa... Yaani Huku Pamekaa kikike kike sana. Kwahiyo Petit man nae alikua anaongezea njia kidogo...Ha ha ha ha haaaaa... Kweli Mwafrica muachie pesa atafikisha lakini sio mke.. Dah.. Dogo kala mzigo ule kimasihara masihara..!! Naomba nikuulize Madam Evelyn hivi Ubuyu means umbea???
 
Huyu mrekebisha ni mnafiki sana,wacha wamshambulie....
Siku usipojipanga alipodeclare yeye ni team Wema sikusubiri ku unfollow nlimpa neno moja dogo tu akaniblock.
Sijutii kabsa
Page zao za kinafiki
Ila mrekebishaji kanikunaaaa
 
Usipojipanga alishaumbuliwa si ndio grace,mi aliniblok kitambo,huyo ni team wema kumtumia jina lake tu ili afanye matangazo
Katika team wema wanaojitambua chichi ni mmoja wapo, mstaarabu sana ila hawa wengine mmh
 
Khaaaaa... Yaani Huku Pamekaa kikike kike sana. Kwahiyo Petit man nae alikua anaongezea njia kidogo...Ha ha ha ha haaaaa... Kweli Mwafrica muachie pesa atafikisha lakini sio mke.. Dah.. Dogo kala mzigo ule kimasihara masihara..!! Naomba nikuulize Madam Evelyn hivi Ubuyu means umbea???
Eti kike teh ubuyu hauna jinsia.....
Yap ubuyu ni umbea, nadhani alikua anaongeza viungo vya mtoto
 
Usipojipanga alishaumbuliwa si ndio grace,mi aliniblok kitambo,huyo ni team wema kumtumia jina lake tu ili afanye matangazo
Katika team wema wanaojitambua chichi ni mmoja wapo, mstaarabu sana ila hawa wengine mmh
Grace yupii?
Jamani yule winnie ndio malkia wa insta wala asibishe.
Anauza mafuta ya mkorogo kuna kiduka anaweka mafuta yake.ukimwona utacheka.
 
Usiamini habari yeyote isiothibitishwa ya Wema kutoka team Dimondo.
Wala usiamini umbeya juu ya dimondo kutoka team Wema...
Huyo mrekebishaji alishazusha Dai anatoka na Kajala.
Huwa wanachafuana tu.
Mtaona leo kwenye tamasha Wema na Eid Lisa na kitumbo chao.
 
Grace yupii?
Jamani yule winnie ndio malkia wa insta wala asibishe.
Anauza mafuta ya mkorogo kuna kiduka anaweka mafuta yake.ukimwona utacheka.
Hahaah anaitwa grace ana kisaluni....malikia wa Insta ni kituko walahi siku hizi kahama insta maana jumalokole alimwandama mpaka basi.... Malkia wa Insta hapana kwakweli teh
 
Naomba unipe jina analotumia insta huyo Grace
Leo Mrekebishaji kagus watu.
Wamemnyea ila ukweli mtupu.
 
Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Hivi petit si kampa mimba yule mtu mfupi ka kikombe cha kahawa muna love hapo hapo anamtafuna na mami wake,khaaa nipo kushangaa bado
 
Usiamini huu umbeya.Mrs arsene wenger ni team Dai so lazima atunge habari ili awaumize team Misukule
 
Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042
Uwiiiiiii nimejisikiaje aibu mimi?
Ujue suala la Wema kuliwa na Petit Man lipo tokea kitambo ndio maana hawana maelewano mazuri na Diamond na hata Diamond kususia harusi yake na dada yake chanzo ni hicho.

Sasa nilidhani kaacha huo upumbavu baada ya kumpata Idris kumbe bado tu?
Kama hili ni kweli basi Wema is done,hatokaa ampate mwanaume kama Idris.
Sijui wenzetu wanawashwaga na nini!
 
mfupa uliowashinda mafisi yeye asingeuweza bora hela zake za bba angeanzisha kilimo cha matikiti kuliko kuhonga gumegume
mpendwa kilimo cha matikiti unakielewa tupeane uzoefu?? hasa kwenye namna ya kuyalima na madawa
 
Uwiiiiiii nimejisikiaje aibu mimi?
Ujue suala la Wema kuliwa na Petit Man lipo tokea kitambo ndio maana hawana maelewano mazuri na Diamond na hata Diamond kususia harusi yake na dada yake chanzo ni hicho.

Sasa nilidhani kaacha huo upumbavu baada ya kumpata Idris kumbe bado tu?
Kama hili ni kweli basi Wema is done,hatokaa ampate mwanaume kama Idris.
Sijui wenzetu wanawashwaga na nini!
Dont catch feelings
Hao team Dai waongo.
Wanasema kwa vile ni chuki...Eid Lissa hamfumania Wema.
Jamani Wema mjamzito wala hajaachwa.
Wanaotaka mimba itoke wataumbuka.
 
Hahaah anaitwa grace ana kisaluni....malikia wa Insta ni kituko walahi siku hizi kahama insta maana jumalokole alimwandama mpaka basi.... Malkia wa Insta hapana kwakweli teh
Hahahahaaa umenikumbusha malkia wa Insta na msura wake...lol
 
Back
Top Bottom