Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Muna ana mimba? Kaachana na mme wake?
Habari ndio hio kalala kaachwa na kichambo juu kisa alikopeshwa hela maskini kashindwa zirudisha,kwani hujaona siku hizi muna anamuita wema ma mkwe.... Alipo ana mimba ya petit
 
Inasemekana wema kafumaniwa akila maraha na petitman wakuache, ambae huwa anasema mtoto wake mmmh sasa wema na petit si mama na mwana mbona wanakulana kama kuku
Idris nae amemind nini wakati ye mwenyewe alimkwapua rafiki ake luismunana
Ubuyu ni mwingi hadi nachoka
Nifah warumi My hubby danya @m.s Lincoln Madame B brenda18
View attachment 323042

Ndio mie mwenyewe nimeona.
Lakini Muna si katiwa mimba na mnusa chupi za Wema Petit, asa imekuwaje kaka na dada walane?
 
Habari ndio hio kalala kaachwa na kichambo juu kisa alikopeshwa hela maskini kashindwa zirudisha,kwani hujaona siku hizi muna anamuita wema ma mkwe.... Alipo ana mimba ya petit
Nshaona mmh makubwa na ile sura yake nzito, yani make up plus filters ila sura ipo vile sijui live yukoje teh
Kalala hakua mme ni kibuzi maringo tu alikua na mme wa ndoa aliezaa nae yule mtoto
 
Nlikua sijui kama ana mimba duuuh
Ana mimba bibi weeee.
Nasikia ya miezi 2.
Maskini Esma wa watuuu.

Halafu ubuyu huu mpya uliupata?
Screenshot_2016-02-14-11-45-10.png

Screenshot_2016-02-14-11-45-18.png
 
Huyu mrekebisha ni mnafiki sana,wacha wamshambulie....
Hapana kwa hili naona kafanya vzr, unajua mficha maradhi kifo humuumbua, na mashabiki maandazi ndo wanaomponza wema, kumshangilia hata alipokosea. Ukimpenda mtu kidhati usiogope kumwambia ukweli hata kama ni mchungu kiasi gani.

Atakuchukia leo lkn kesho atakuja jua thamani ya ukweli ulompa
 
Ndo huyu dida anakula nae bata mama Malaika beach mara wapi ila sura haoneshwi, ndio huyo mvulana? Mmmh
Habari ndo hiyo, kakataa ndomu apewe gari na amepewa Harrier....na nasikia mfiraji balaa ndio maana kila ukimuona Dida kajibinua tu makalio, watu wanajiuliza kwanini akatae ndomu?
Au afya yake haieleweki kama mtoto wa Aunt na Iyobo?
Wamemchambia kwenye account yake akamuue mwanae Warda ila sio mtoto wa watu, dogo lenyewe la 93 kutaka kuona papa zilizoungua na mkorogo za mama zake akina Dida.
Mpo Nifah My hubby Ms.Lincoln brenda18 warumi?....
 
Weeee ina maana huyu ndio kamuengage make nilisikia anataka kuolewa
 
Najikuta tu nawasikikiza jamaa zangu wawili mandojo na domo kaya na wimbo wao "nikupe nini" mstari unaonikuna ni pale wanapoimba
"Mwezi wa kumi wa kumi na moja huo kwenye kona wa kumi na mbili umetinga mwanangu wadai huna mimba si nikastuka nikikuwa nahudumia tambala"
....na bado nimekolea sihesabu hizo hasara! Nikupe nini uridhike ni mkong'oto au maradhi, sifanyi malipizi ila jifunze adabu mpenzi"
 
Habari ndio hio kalala kaachwa na kichambo juu kisa alikopeshwa hela maskini kashindwa zirudisha,kwani hujaona siku hizi muna anamuita wema ma mkwe.... Alipo ana mimba ya petit
Duuu,sijaipata iyo ila muna nae gari limeanza kuwa ka!(teja) no wonder wapendane na bibi bomba they are in the same hell dealing with the same devil.
 
Habari ndo hiyo, kakataa ndomu apewe gari na amepewa Harrier....na nasikia mfiraji balaa ndio maana kila ukimuona Dida kajibinua tu makalio, watu wanajiuliza kwanini akatae ndomu?
Au afya yake haieleweki kama mtoto wa Aunt na Iyobo?
Wamemchambia kwenye account yake akamuue mwanae Warda ila sio mtoto wa watu, dogo lenyewe la 93 kutaka kuona papa zilizoungua na mkorogo za mama zake akina Dida.
Mpo Nifah My hubby Ms.Lincoln brenda18 warumi?....
Acha cha chaaa!!
Jamani Oparation maalumu ya jeshi inahitajika kuvikimboa hivi vitoto.
Ya nini kuogelea kwa mama zao wakati size yao wapo??
Tamaa ya pesa na maisha mteremko.!!
Umemwona wa Shilole??
Aisee ni janga la kitaifa.
Unajua Idriss na Wema wana wa actia.
Leo mtawaona
 
Duuu,sijaipata iyo ila muna nae gari limeanza kuwa ka!(teja) no wonder wapendane na bibi bomba they are in the same hell dealing with the same devil.
Magufuli aanze na hawa wauza Ngada wanatumalizia ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom