Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Wanaume bana kama vile hatuna akili eti yaani Wema nae bado anamnyima mtu usingizi, huyu huyu Wema Sepetu? Kila mwanaume akiwa staa anampitia.
Wacha niishie hapa TeamWema wasijekuniita majina ya ajabu ajabu kisa nimesema ukweli

"Dusheee dusheee
Kila moyo na chaguo lake ee
Dusheee dusheee wenyewe tumeamua kupendana...

Dusheee dushee..
Kila moyo na chaguo lake ee
Dusheee dusheee
Mtupishe....mtupishe iyee eeeh"

Kuna mtu aliimbaga hiyo.
Ulipoona chongo wewe mwenzio kaona kengeza and viceversa.
U never know, hata kwa huyo uliyempenda si ajabu mwenyewe unaona umefika ila kumbe kuna wenzio wanamdharau ile ile yaani wanamuona galasa!
 
Siku ya wapendanao imekuja na kwenda zake.

Sasa sijui wiki hii kutakuwa na lipi....itakuwa imetoka...au itarudi?

Wataongezeka mapacha au mapacha watatu?

Au tutaonyeshwa picha za ultrasound?

Au mimba itakuwa ya Petit Man na siyo Idrisa?

Au labda si ya Petit Man wala Idrisa....bali ni ya mlinzi?

Yetu macho na masikio.
Ngabu umenichekesha drama queen
 
Na leo kwenye avatar yake ya IG kaweka rangi nyeusi vipi kulikon tena
Au analipa timu mondi kuweke red😉
 
Usiamini habari yeyote isiothibitishwa ya Wema kutoka team Dimondo.
Wala usiamini umbeya juu ya dimondo kutoka team Wema...
Huyo mrekebishaji alishazusha Dai anatoka na Kajala.
Huwa wanachafuana tu.
Mtaona leo kwenye tamasha Wema na Eid Lisa na kitumbo chao.

mkuu ,Tamasha lilifanyika?
 
This lady iiiiis tooooo faaaaaakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee khaaa...yote hayo ya nn...anataka tu kick yani mjini..keshachuja mi niliona tangu mwanzo ht love ilikua fake walipanga watu fool...wema anapotosha wajinga wengi
Nimeamua imetoka Dr manyaunyau amethibitisha
 
Mi nasubiri ubuyu kutoka kwa Nifah ndo nithibitishe.
Huyo mtu huwezi kumuona wiki nzima humu yupo kwenye majonzi ya mimba feki, wao wanaugulia zaidi ya huyo boss wao aliyefeki mimba ukimtaka kwa haraka nenda istagram sachi wemareplies ndo jina analolitumia huko ukamuone anavyolia.
 
Back
Top Bottom