Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Huyo mtu huwezi kumuona wiki nzima humu yupo kwenye majonzi ya mimba feki, wao wanaugulia zaidi ya huyo boss wao aliyefeki mimba ukimtaka kwa haraka nenda istagram sachi wemareplies ndo jina analolitumia huko ukamuone anavyolia.
Usijisahau sana mkuu, kunasheria humu inaitwa "name calling"
Atakureport silently, tahamaki ujishtukie uko banned.
 
Usijisahau sana mkuu, kunasheria humu inaitwa "name calling"
Atakureport silently, tahamaki ujishtukie uko banned.
Sijam-quote wala sijam-tag angalia vizuri,ila nimetaja jina lake la insta ambalo haliwahusu watu wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…