Asanteni sana. nimeenda regency wamelitoa. naendelea vizuri. Asanteni sana wote makomredi. marafiki. ma sons and daughters na wote wapenzi wangu hata watalaka wangu asanteni sana. I love you more.

Wana bodi i am sick. jino linaniuma nalia kama mtoto loh.
Asanteni sana. nimeenda regency wamelitoa. naendelea vizuri. Asanteni sana wote makomredi. marafiki. ma sons and daughters na wote wapenzi wangu hata watalaka wangu asanteni sana. I love you more.
Pole sana!!Maumivu ya jino nayatambua!!
Asanteni sana. Love you more.
Unaona sasa ex wangu,faida za kuniacha ndo hizo,ningesha ku rush india!
Jokes aside,pole mama,kama uko dar nenda mikocheni kuna two best clinics za meno,moja ni ile turkish hospital ukipita kwa nyerere karibu na junction ya resort nyingine iko Sanitas hospital,ni second floor Baraka plaza mbele kidogo ya kwa nyerere,ukifika uliza Dr James.