Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alidai kambarage= mrwanda, malecela= mkongo, kawawa=msumbiji.Sasa si kwanza utuambie kwenye hizo tuhuma walikuwa wanatuhumiana kuwa ni watu wa wapi
hivyo haya madai yana ukweli fulani!Kama alivyo mwinyi sio
mzanzibar na she in pia sio mzanzibar karume sio mzanzibar salmon amour
sio mzanzibar kumbe pia sio mzanzibar alive kua mzanzibar ni idrisa
Abdul wakil tu
Nadhan unazungumzia uraia wao kutokana na asili yao ila baada ya uhuru wote walio ndan ya tanganyika walihesabika watanganyika kwa mfano wangoni hawana asili ya Tanzania ni watu wa afrika ya kusini ila saa hv wangoni waliopo Tanzania ni Watanzania
baada ya kupitia historia ya oscar kambona, kuna sehemu amekiri kuwa hawa watatu hawakuwa raia wa tanzania. hii ilitokana na nyerere pia kudai kambona hakuwa raia, sasa wanahistoria ukweli uko wapi? karibuni.
Hahahahaaaaa mbavu zangu