Ni kweli Kambarage, Kawawa na Malecela hawakuwa Watanzania?

Ni kweli Kambarage, Kawawa na Malecela hawakuwa Watanzania?

baada ya kupitia historia ya oscar kambona, kuna sehemu amekiri kuwa hawa watatu hawakuwa raia wa tanzania.hii ilitokana na nyerere pia kudai kuwa kambona hakuwa raia, sasa wanahistoria ukweli uko wapi?

Karibuni.

historia ilishapotoshwa. Hata hao wanahistoria unaotaka waje kufafanua hawatatoa jibu sahihi. Kwanza suala la uraia ni mtambuka. Hakuna mtu mwenye uraia wa asilimia 100 kwenye nchi husika. Kama ni hivyo hata obama si mmarekani bali ni mkenya!
 
Baba yake Mwalimu Nyerere ni Chief Nyerere. Burito. Baba yake Chief Nyerere alikuwa. Burito. Baba yake Burito alikuwa Mbonosi. Baba yake Mbonosi hajulikani jina lake lakini alikuwa mjaluo. It gets better. Mama. Maria Nyerere pia,ancestors ukienda nyuma two or three people unakuta kwamba ni wajaluo.
 
Kwanza useme hiyo Tanzania ilianza kuwepo lini na Watu kuwa Watanzania walianza lini, kisha uonyeshe hao unaowatuhumu kwamba walianza lini kuwepo mahala walipokuwa na Utanzania ama kutokuwa utanzania wao unasimamiwa na nini.

Baada ya kupitia historia ya Oscar Kambona, kuna sehemu amekiri kuwa hawa watatu hawakuwa Raia wa Tanzania.Hii ilitokana na Nyerere pia kudai kuwa Kambona hakuwa raia, sasa wanahistoria ukweli uko wapi?

Karibuni.
 
Baba yake Mwalimu Nyerere ni Chief Nyerere. Burito. Baba yake Chief Nyerere alikuwa. Burito. Baba yake Burito alikuwa Mbonosi. Baba yake Mbonosi hajulikani jina lake lakini alikuwa mjaluo. It gets better. Mama. Maria Nyerere pia,ancestors ukienda nyuma two or three people unakuta kwamba ni wajaluo.

Sasa tunakariibia kufika kwa Obama, au siyo ndugu?

Kwa hiyo Uzanaki mmeutolea wapi ikiwa nyinyi asili yenu kwa baba na kwa mama ni Wajaluo?
 
Sasa tunakariibia kufika kwa Obama, au siyo ndugu?

Kwa hiyo Uzanaki mmeutolea wapi ikiwa nyinyi asili yenu kwa baba na kwa mama ni Wajaluo?
Binafsi nafikiri haya majina(makabila) yamekuja tu kwa kuwa "named" na watu kulingana na eneo lao!Kuna story nyingi kuhusu wazanaki binafsi nimekuwa nikiambiwa ya kuwa..."Asili yao ni RWANDA(Hapa Mch Mtikila huwa anakomaa napo sana)na kuwa WAZANAKI ni WATUTSI.Waliitwa wazanaki na kabila fulani lipo MARA linaitwa WAJITA(Walipofika maeneo hayo ya wajita,walikuwa wakiulizwa "WAJANAKI"-yaani maana yake umekuja na nini?Vivyo hivyo mambo ya matamshi akawa WAZANAKI.Anyways nimesoma pia kumbe WASUKUMA asili yao ni kutoka BONDE LA MTO CONGO.Tanzania ni nchi ya wahamiaji...
 
Back
Top Bottom