Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Wewe na mweka mada thibitisheni madai yenu...Kukufilutia account sidhani na kuedit slip sidhani.
Ninachojua ni kuwa ukiwapiga pakubwa na ikagundulika una account Zaidi ya moja kwao hupati kitu
Kilimo kimekukaa ndugu...Kampuni zilizo nyooka ni kwenda Morogoro kuna mashamba ya kufeka bure kabisa , na unalima bure kwa misimu mitatu halafu wanaanza kukukodishia
ChaiNimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa account. Yana ukweli? Kampuni gani zimenyooka?
Akifanya hivyo najitolea na mbegu nampa bure kabisa bwasheeKilimo kimekukaa ndugu...
Ni loss kiasi gani ulishawahi kupataAkifanya hivyo najitolea na mbegu nampa bure kabisa bwashee
Watu wa beting wana dopamine za ajabu sana bwasheee , muhimu nimeshatoa code 😅Ni loss kiasi gani ulishawahi kupata
Tukishapoteza pesa nyingi na kufilisika ndio mnaaza kutushauri💔Kampuni zilizo nyooka ni kwenda Morogoro kuna mashamba ya kufeka bure kabisa , na unalima bure kwa misimu mitatu halafu wanaanza kukukodishia
me nitagharamia gharama za kulima shamba kwa trekta kwa heka idadi ya heka zakeAkifanya hivyo najitolea na mbegu nampa bure kabisa bwashee
Safi sana mkuume nitagharamia gharama za kulima shamba kwa trekta kwa heka idadi ya heka zake
"Kama huna kazi kalime." Hujawahi kusikia huu msemo maarufu?Kampuni zilizo nyooka ni kwenda Morogoro kuna mashamba ya kufeka bure kabisa , na unalima bure kwa misimu mitatu halafu wanaanza kukukodishia
Sawa , mkianza kuona mpira mipya tena barabarani muanze kusema tena ni friimasoni"Kama huna kazi kalime." Hujawahi kusikia huu msemo maarufu?
Kuna wakenya nao huwa wanalalamika kubadilishiwa mikeka waliyoshinda.Hiyo post umeitoa kule mtandao wa X jamaa amelalamika et kashinda mil 57 amefutiwa acc sasa kwanini asiireport gaming board.Mi naamini kwamba ni fix huwezi kushinda kiasi hicho cha fedha kisha ukashindwa kujua wapi pa kureport tatizo
Morogoro sehemu gani mkuuKampuni zilizo nyooka ni kwenda Morogoro kuna mashamba ya kufeka bure kabisa , na unalima bure kwa misimu mitatu halafu wanaanza kukukodishia
TurianiMorogoro sehemu gani mkuu
Mpaka wanakufungia akaunti wewe unakuwa huja-withdraw tu.Kukufilutia account sidhani na kuedit slip sidhani.
Ninachojua ni kuwa ukiwapiga pakubwa na ikagundulika una account Zaidi ya moja kwao hupati kitu