Aende kule jukwaa la Mikeka, niliweka na ushahidi Paripesa walinipiga 17m na sina cha kuwafanyaKuna mawili, inawazekana hujui lolote kuhusu betting na makampuni yake yalivyo, au ni ngumbaru
Kuna kampuni mfano sportybet au betpaw hawana kona kona ukiwapiga pesa kubwa, Ila kampuni zingine hizi za ndani au zile za kirusi, huwezi kulipwa hiyo hela hata ufanye nini na uende wapi
Huyu atakua ngumbaru hajui chochote kuhusu bettingAende kule jukwaa la Mikeka, niliweka na ushahidi Paripesa walinipiga 17m na sina cha kuwafanya
Mimi hapa ni mfano halisi. Paripesa walifungia acc yangu ikiwa na 17m. Nikaenda bodi pale Posta wakasema hao ni matapeli na hawajasajiliwa bongo.Nyote mnaongea vitu vya nadharia, watu wanashinda mpaka milioni 50 - 100 na wana account kibao na ela wanalipwa bila chenga, taja kampuni moja iliyowahi kugoma kumlipa mtu mkeka alioshinda kihalali kwasababu zozote zile!?,. Au toa mfano halisi wa mtu unayemjua, kama yupo hiyo story ingefika hadi mitandaoni usicheze na mtu anayebet mwaka mzima au zaidi analiwa halafu ashinde milioni 13 umletee story!?,hizo kelele zitafika mpaka kwa mkuu wa wilaya hadi polisi. Na kampuni zinaogopa hizo kelele ili wasipoteze wateja, unajua kampuni za kubeti zinaingiza shilingi ngapi kwa siku!?
Kuna mtu amekuingilia kwenye kazi yako ya kudanga?Fanya kazi. Acha uvivu kutegemea kamari
Hairuhusiwi kuwa na account zaid ya mojaKukufilutia account sidhani na kuedit slip sidhani.
Ninachojua ni kuwa ukiwapiga pakubwa na ikagundulika una account Zaidi ya moja kwao hupati kitu
Mkuu beti kwenye kampuni zilizosajiliwa nchini na zinaphysical office hapa.Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa account. Yana ukweli? Kampuni gani zimenyooka?
Mkuu nipe channel fastaKampuni zilizo nyooka ni kwenda Morogoro kuna mashamba ya kufeka bure kabisa , na unalima bure kwa misimu mitatu halafu wanaanza kukukodishia
Vp kampuni ya mwanao VUNJABEIKuna mawili, inawazekana hujui lolote kuhusu betting na makampuni yake yalivyo, au ni ngumbaru
Kuna kampuni mfano sportybet au betpaw hawana kona kona ukiwapiga pesa kubwa, Ila kampuni zingine hizi za ndani au zile za kirusi, huwezi kulipwa hiyo hela hata ufanye nini na uende wapi
Fanya kazi. Kamari ni uvivu wa mwili mpaka akili. Kudanga ndo sifa ya MwanaumeKuna mtu amekuingilia kwenye kazi yako ya kudanga?
Sorry mkuu. Mwanzoni ulivyoandika sikujua kama ni mwanaume.Fanya kazi. Kamari ni uvivu wa mwili mpaka akili. Kudanga ndo sifa ya Mwanaume
Unatumia njia gani naona mobile payments na bank transfer zote hazipo available1xbet..hawa warusi me sina shida nao
instantly payment
Sipo TanzaniaUnatumia njia gani naona mobile payments na bank transfer zote hazipo available
Aha sawaSipo Tanzania
Duh, mbona hatari hii....Mimi ningekiwasha ningeita Hadi waandishi wa habariMimi hapa ni mfano halisi. Paripesa walifungia acc yangu ikiwa na 17m. Nikaenda bodi pale Posta wakasema hao ni matapeli na hawajasajiliwa bongo.
Kutokujua kuhusu betting ndio uwe ngumbaru? Au ngumbaru ndiobhajijuiHuyu atakua ngumbaru hajui chochote kuhusu betting
Labda kwako, kuna pesa rahisi nyingi tu sema hujawahi kukutana nazo,Acheni Kubet, hakuna Pesa rahisi ni lazima ku hustle
Unawezaje kushindana algorithm mkuuLabda kwako, kuna pesa rahisi nyingi tu sema hujawahi kukutana nazo,
Sisemi kuwa betting ni rahisi, inahitaji research na discipline kufanikiwa, ila mentality ya kuwa kupata pesa lazima ufanye hizi kazi za kawaida, sijui kulima, kuajiriwa ni kukosa exposure
Mimi nimeshangaa kwa kweli, kampuni ambayo Ina brand kubwa tu halafu mtu ashinde iache kumlipa katika enzi hizi za teknoljia ya habari na mawasialino? Lazima ukichafue ile mbaya Hadi wafungashe viragoNyote mnaongea vitu vya nadharia, watu wanashinda mpaka milioni 50 - 100 na wana account kibao na ela wanalipwa bila chenga, taja kampuni moja iliyowahi kugoma kumlipa mtu mkeka alioshinda kihalali kwasababu zozote zile!?,. Au toa mfano halisi wa mtu unayemjua, kama yupo hiyo story ingefika hadi mitandaoni usicheze na mtu anayebet mwaka mzima au zaidi analiwa halafu ashinde milioni 13 umletee story!?,hizo kelele zitafika mpaka kwa mkuu wa wilaya hadi polisi. Na kampuni zinaogopa hizo kelele ili wasipoteze wateja, unajua kampuni za kubeti zinaingiza shilingi ngapi kwa siku!?
Swali zuri, kwenye computer generated games kama aviator, casino, na virtual games hapo huwezi kuwashinda, system ipo kuhakikisha wao ndio watakula hela yako zaidi kuliko weweUnawezaje kushindana algorithm mkuu
Pamoja na hayo bado ni mchezo mgumu mno, kati ya watu elfu kumi wanaweza shinda 10 au 20, ningekuwa na mamlaka ningezifuta kampuni zote za kamari, ni mchezo unaoathiri watu kihisia, kisaikolojia na kiuchumi ni namna ya michezo ya pata potea ambayo kwa hakika ni hatari kwa mustakabali wa mtu binafsi, ni uraibu mbaya pengine kuzidi pombe au zinashabihiana kabisa,Swali zuri, kwenye computer generated games kama aviator, casino, na virtual games hapo huwezi kuwashinda, system ipo kuhakikisha wao ndio watakula hela yako zaidi kuliko wewe
Ila kwenye michezo halisi ya football, ngumi, basket etc hii unawapiga vizuri tu kama wewe ni mfuatiliaji na mtafiti mzuri wa timu husika,
Ni kitu ambacho nakifanya , so najua ninachokiongea