Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
KWa mtu anayebet kwenye michezo anaoufuatilia, sio michezo mgumu actually ni fun huku unapiga hela.Pamoja na hayo bado ni mchezo mgumu mno, kati ya watu elfu kumi wanaweza shinda 10 au 20, ningekuwa na mamlaka ningezifuta kampuni zote za kamari, ni mchezo unaoathiri watu kihisia, kisaikolojia na kiuchumi ni namna ya michezo ya pata potea ambayo kwa hakika ni hatari kwa mustakabali wa mtu binafsi, ni uraibu mbaya pengine kuzidi pombe au zinashabihiana kabisa,
There's no free lunch in economy
Siamini kama kuna mtu anaye bet just for fun, bila kuwa na dhumuni la kupata pesa, kila mtu anayebet ana shida na pesa, hiyo iko waziKWa mtu anayebet kwenye michezo anaoufuatilia, sio michezo mgumu actually ni fun huku unapiga hela.
Ugumu wake mkubwa ni kwenye self control, nidhamu, hapa inakuwa mtihani mkubwa sababu wengi wanabetia njaa na utajiri wa fasta, atakuwa anabet hata game ambazo hajazifanyoa utafiti mzuri ili apate hela ya matumizi
Ndio maama kauli mbiu ni Bet responsibly
Tuthibitishie kwa sasa umefikia level ipi ya utajiri kupitia kilimo?Kampuni zilizo nyooka ni kwenda Morogoro kuna mashamba ya kufeka bure kabisa , na unalima bure kwa misimu mitatu halafu wanaanza kukukodishia
nimemaaniaha ukiwa unabet halafu unashinda inakuwa ni kama unafanya starehe huku unapata hela, tofauti na kazi kama kilimo ambayo hata ukipata hela ni jashoSiamini kama kuna mtu anaye bet just for fun, bila kuwa na dhumuni la kupata pesa, kila mtu anayebet ana shida na pesa, hiyo iko wazi
Sawa mkamaria, bahati njema katika utafutaji wakonimemaaniaha ukiwa unabet halafu unashinda inakuwa ni kama unafanya starehe huku unapata hela, tofauti na kazi kama kilimo ambayo hata ukipata hela ni jasho
ni side hustle tu😀😀 kazi ninayo nyingineSawa mkamaria, bahati njema katika utafutaji wako
Ina ulazima ganiTuthibitishie kwa sasa umefikia level ipi ya utajiri kupitia kilimo?
Bilionea au Tilionea?
Vijana wengi wakishabeti wakishapoteza sana akili inapoteza mwelekeo unakuta alikuwa na mawazo ya over vizuri kumbe aliselect under baadaye inakuja lawama. Kwa taarifa yako kampuni ya betting haina haja ya kukudhulumu bali utawapa pesa yako wewe mwenyewe sasa kwanini wakudhulumu wakati kuna uwezekabo wakuwapa kwa hiari?Nimesoma sehemu kuwa kampuni za kubeti zinadhulumu watu walioshinda pesa nyingi. Kuwa zinabadilisha betting. Kama uliweka timu fulani ishinde wao wanabadili kuwa uliweka ifungwe kwa hiyo wanachana mkeka ulioshinda. Ukiweka over na kushinda wanabadili kuwa under. Na wengine wanakufutia kabisa account. Yana ukweli? Kampuni gani zimenyooka?
Makosa makubwa yanayoweza kukufanya usilipwe pesa ukishindaKukufilutia account sidhani na kuedit slip sidhani.
Ninachojua ni kuwa ukiwapiga pakubwa na ikagundulika una account Zaidi ya moja kwao hupati kitu
Umewahi kufanya kazi ya miamala ya kifedha? unaponuekea mtu 1000 ni sawa na kumuwekea mtu milion 5? Zipo sheria zinazowaongoza kutoka wizara ya fedha na bodi ya michezo ya bahati nasibu pamoja nasheria zao. Nimuhimu kabla ya kufungua account kusoma vigezo na mashartiMpaka wanakufungia akaunti wewe unakuwa huja-withdraw tu.
Na kwanini wasubirie mpaka ushinde kiwango kikubwa ndio hoja ya kuwa na akaunti zaidi ya moja iibuliwe