Ni kweli Karume, Salmin Amour na Wanamapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa Kiarabu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja.

Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa kiarabu, na kihindi baada ya mapinduzi ya Zanzibar?

Inasemekana kuwa mke wa Salmin Amour alimtoroka na kwenda kuolewa huko Norway baada ya kuwa kwenye ndoa aliyolazimishwa kwa muda

Na wazazi wa kiarabu waliwekwa ndani na kuchapwa mijeledi baada ya kugoma mabinti zao kuolewa na watu weusi!?
 
Duh...!.
Tarehe kama ya leo 11/01/1964 miaka 60 iliyopita, ndio Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalifanyika!. Alfajiri ya Tarehe 12 Januari, 1964 ilikuwa ni kutangazwa tuu!.

Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali
 
Vipi kuhusu hao mabinti wa Kiarabu kuolewa kwa nguvu?
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 
Mkuu hilo ni kweli walio kwa nguvu, tena wengine walikuwa wake za watu kabisa. Ila kwa Salmini sio, Mke wa Salmini alimtoroka alikuwa alikuwa ni Mtanganyika na inasemekana aliolewa Libya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…