Ni kweli Kidoletumbo (Appendix) hakina umuhimu tumboni?

WAKUJILA

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa Kidoletumbo hakina umuhimu ndani ya mwili wa binadamu zaidi sana ni matatizo tu pale kinapojaa mchanga na mawe, na hata kusababisha kifo kikipasuka ndani ya tumbo.

Je hii ni kweli? Na ina maana Mungu aliyetuumba wakamilifu kakiweka cha nini?
 
hapakuwa na haja ya kuuliza hilo swali. kwa kuwa muumbaji kakiweka, basi kina umuhimu. jibu tayari unalo!
 
najua wataalamu watatoa majibu ya maana juu ya afya hii ya mwili, ila wapita njia watataka kuzingua.
idoyo
 
Kuna jamaa yangu mwaka jana alitolewa hiyo kitu kulingana na alivyoniambia nikamuuliza wamekitoa chote akaniambia ndiyo,akaniambia ktk kumuliza uliza doctor wake alimwambia kwamba kitaalamu huwa wanaita ni "makosa ya uumbaji"coz hakuna kazi kinachofanya mwilini sijui ni kweli ngoja namim niwasubiri wataalam waje.
 
hiki ndo kile kinachohifadhi mawe unayokula kula ikatokea mawe yamejaa kinauma na ikibidi ni operation kinatolewa kina kazi ndugu
 
mimi tangu kitolewe nasumbuka sana na tumbo linauma sanasana!
 
hiki ndo kile kinachohifadhi mawe unayokula kula ikatokea mawe yamejaa kinauma na ikibidi ni operation kinatolewa kina kazi ndugu

sasa mi najiuliza kwanini hayo mawe yasipitilize moja kwa moja hadi kwenye njia ya haja kubwa badala ya kuingia kwenye appendix? hapa kweli kulikua na makosa ya uwepo wa hicho kidude tumboni
 
sasa mi najiuliza kwanini hayo mawe yasipitilize moja kwa moja hadi kwenye njia ya haja kubwa badala ya kuingia kwenye appendix? hapa kweli kulikua na makosa ya uwepo wa hicho kidude tumboni

Nimecheka tu ahahaha kulikua na nini eti
 
Nimecheka tu ahahaha kulikua na nini eti

kama kingekua na umuhimu, hayo mawe yanayoingia humo kene kidoletumbo ikiwa yanakaribia kujaa bas kidoletumbo kinatakiwa kijifrash ili mawe yatoke na ishu nyingine ziendelee. sasa mawe yanajaa Had kina burst bado sjaona faida ya uwepo wake hicho kidude

LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:
kidole tumbo....... kinahifadhi mchanga unaopita katika utumbo ni kama kinachuja zile takataka ambazo hazitakiwi kupita kikijaa kinauma sanaaa (nimesimuliwa lakini) ... inasemekana ulaji wa vyakula vyenye wanga nyingi ... mchele huchangia kidole tumbo kujaa kwa haraka na kuleta maumivu ..dawa yake ni kukitoa hapo utakula mchanga debe
 

Soma hapo alipojibu MankaM
 
Last edited by a moderator:

Kabla hata ya kumtaja Mungu je umemaliza kidato cha NNE? Ulisoma biolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…