. Mmeeshaanza udini wenu, hamjiamini na dini zenu tatizo .uovu uko dini zote, hakuna cha ukristo wala uislamu,kama mnaakumbuka kwenye Uislamu kulikua na Shekhe Kassim, huyo asione mtoto wa kiume tuu ni umekwisha.Vile vile kwenye ukristo tumeona hizi kashfa za juzi juzi.
Mimi binafsi nusu niwe a victim na hawa watawa wa Catholics , nilipo kua mdogo hapo St Peter ,Oysterbay,kulikua na mwalimu mmoja, huyo mwalimu inasemekana alikua basha, nakumbuka siku tuna fanyiwa mtihani wa komunio ya kwanza , aliniita kwenye chumba, halafu akaniuliza nini maana ya KUZINI, mini nilikua najua maana yake ila nikamwambia sijui, yeye akani bembeleza niseme kwa kuniambia nisiogope kusema kwani ni kitu cha kawaida ,mimi nikamwmabia sijui,bahati nzuri akaniachia.
Baada ya hapo ndio nikasikia kua ni basha na wapo watoto wengi tuu walio kuwa abused na mwalimu huyo, mmoja wapo aliniambia yeye mwenywe kua aliitwa chumbani na kuambiwa wewe mtoto umekua umesha balehe ujiepushe na wasichana , akaambiwa avue nguo amuoneyshe uume wake wausalie na wakausalia, sasa sijui kama nini kiliendelea zaidi ya hapo.
Suala la ngono kwa hawa watu wa dini ni kila dhehebu ,kila dini lipo na wengi wanajificha kw amgongo wa dini kuficha uhomesexual wao.