Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani padri huyo? Anaweza kuoa wanne. Lkn nyinyi mapadri mnatakiwa msioe lkn manakazania kuoa, wengine mnabaka kabisa.
Hatumuachi MPAKA KIELEWEKEEEEEEEEEEEEE!!!
Wana jamvi,
Nijuzeni haya:
1. Rais Kikwete ana wake wangapi halali kwa sasa?
2. Ni kweli kaoa mtoto wa Zakia Meghji
3. Ni kweli vile vile kuwa kaoa mke "mnyalukolo" mtoto wa mmiliki wa kiwanda cha maziwa cha ASAS?
Mada hii niliwahi kuileta hapa jamvini lakini wengi walisema ni umbeya. Kwa taarifa za uhakika ana wawili halali lakini pia ana nyumba ndogo nyingi kila kona ya nchi hii na dunia kwa ujumla.
Mabikra 72 hutolewa kama zawadi ukijilipua
Wana jamvi,
Nijuzeni haya:
1. Rais Kikwete ana wake wangapi halali kwa sasa?
2. Ni kweli kaoa mtoto wa Zakia Meghji
3. Ni kweli vile vile kuwa kaoa mke "mnyalukolo" mtoto wa mmiliki wa kiwanda cha maziwa cha ASAS?
Waalimu(sio walimu) wa madrasa je?
Kwani kuna ubaya gani, kikwete kuoa.kwa kuwa anaapa kwa kubebe Msaafu,naamini anauwezo wote ,Ana ruhusa ya Wake 4.
watoto wa zakhia wa kike ni wawili jamila na salama na wote wameshaolewa harusi zao zilifanyikia golden tulip labda awe kaoa mtoto wa ndugu na jamaa
MMMMMMHH, HII SASA NI HATARI, JAMIIFORUMS HAISTAHILI KUWA NA UDINI, HILI NI JUKWAA LA HAKI USAWA NA CHANGAMOTO, MODS NAWAOMBA MUWE NA UTARATIBU WA KU WA-BAN WATU WOTE WANAOPOST STATUS ZENYE CHUKI ZA KIKABILA, DINI AU RANGI, ANZENI NA M.S. :ban:
Mada hii niliwahi kuileta hapa jamvini lakini wengi walisema ni umbeya. Kwa taarifa za uhakika ana wawili halali lakini pia ana nyumba ndogo nyingi kila kona ya nchi hii na dunia kwa ujumla.