Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ajira nyingi, za wazi na za kutosha ziko kwenye kilimo, biashara, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, ujenzi n.k.Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho husika limetolewa Feb, 2024.
Nauliza hizi asilimia za NBS zinaakisi uhalisia uliopo kwa ground? Kwamba katika kila watanzania 100 wenye uwezo wa kufanya kazi, ni 7 pekee hawana hizo kazi! Zile ratio kubwa za wanaoenda kwenye interview kulinganisha nafasi zinazotangazwa, wale watu huwa wanatoka wapi?
Tz kuna changamoto kidogo tu kwa wasaka ajira kwenye soko la ajira kimataifa 🐒