Ni kweli kiwango cha kukosa ajira nchini ni 7.8% kama takwimu za NBS zinavyosema?

ajira nyingi, za wazi na za kutosha ziko kwenye kilimo, biashara, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, ujenzi n.k.

Tz kuna changamoto kidogo tu kwa wasaka ajira kwenye soko la ajira kimataifa 🐒
 
Ni sawa na kusema division 4 ni kufauru wakat uyo wa division4 serikal haimchagui popote zaid ya kua mzgo kwa wazazi
 
NBC ni waongo na watu wa ovyo hapa Duniani
 
Yule mama mtakwimu ni mpishi mzuri wa kuzipika tangu enzi ya Magu akionyesha mfumuko wa bei kushuka Kila mwezi na uchumi kukua Kila mwaka.
 
ajira nyingi, za wazi na za kutosha ziko kwenye kilimo, biashara, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, ujenzi n.k.

Tz kuna changamoto kidogo tu kwa wasaka ajira kwenye soko la ajira kimataifa 🐒
Sidhani kama za wazi, watu wengi wamefanya mapambano katika maeneo tajwa na wameangukia pua..

Wapo watu kijijini wamekulia kwenye sekta ya kilimo na wanaijua hasa lakini imeshindwa kuwasogeza popote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…