Naaanisha shimo,
Kuna fundi amekuja home akaona shimo lote halionekani, akasema kitaalamu haifai maana paving au kufunika na mchanga kunahifadhi unyevu ambao unaharibu ubora wa cement hivo life span ya shimo inapungua, kuna mwenye kufahamu kuhusi hili?
Mi nimelifunika lot
Navyokua maeneo ambayo kuna maji yanatuama sana au chemchem huwa wanaweka nylons kabla ya kuweka paving juu.
Hata shimo linaweza zungushiwa nylons wakati wa kujenga. Ila shimo la choo Lina maji mda wote maji na yanakaa mda sana usiwaze sana.
Kama limepingwa neru kwa juu(kioo cha siments)inatosha