Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa ivo ndiyo maana ikasemwa mtoa roho atiwe Israili!??Huoni Israel anavyotoa roho za Wapalestine. Hana huruma, ndiyo maana akaitwa hivyo.
Gabriel sio izraili Ni jibrili nrejea vizuri kumbukumbu zakoKulingana na Biblia, Malaika mtoa roho anaitwa Gabriel ila Kuna watu wenye chuki na Israel kiasi Cha kuifananisha na malaika mtoa roho.
Hapana Mkuu! Kazi ya Malaika Gabriel ni kuleta ujumbe wa Mungu kwa mtu au kwa wanadamu.Kulingana na Biblia, Malaika mtoa roho anaitwa Gabriel ila Kuna watu wenye chuki na Israel kiasi Cha kuifananisha na malaika mtoa roho.
Mkuu Gabriel ni mtoa roho?Kulingana na Biblia, Malaika mtoa roho anaitwa Gabriel ila Kuna watu wenye chuki na Israel kiasi Cha kuifananisha na malaika mtoa roho.
Kama haitwi Israel anaitwa nani?Malaika aliyewakilishwa kwa kazi hiyo anaitwa malaika wa mauti, ni malaika mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kazi ya kutoa roho nyingi kwa wakati mmoja nae ana wasaidizi wake, wao hutoa roho kuanzia kwenye vidole vya miguu kisha mpaka karibu au usawa wa mitulinga kisha yeye anamalizia.
Ni malaika mtukufu na siku ya mwisho na yeye atakufa pia, haitwi israeli, na si kweli kuwa anaitwa hivyo, anawajua watu wote na anajua nani siku yake imefika kwani anapewa utaratibu muda ukifika ila kabla hajui, hawahi wala hachelewi.
"Waambie: Atakufisheni malaika wa mauti aliyewakilishwa kwenu, kisha kwa mola wenu mtarejeshwa."
Qur'an 32:11
Gabriel ni malaika wa habari njema, alitangaza kuzaliwa Kwa Yesu na Yohana MbatizajiKulingana na Biblia, Malaika mtoa roho anaitwa Gabriel ila Kuna watu wenye chuki na Israel kiasi Cha kuifananisha na malaika mtoa roho.
Bro, Gabriel (Jibril) ni mwandishi wa habari pro max. Yeye ingekuwa leo hii angekuwa ni CEO wa CNNKulingana na Biblia, Malaika mtoa roho anaitwa Gabriel ila Kuna watu wenye chuki na Israel kiasi Cha kuifananisha na malaika mtoa roho.
Kwani hapo mwanzo hapasomeki mkuu? nimesema anaitwa malaika wa mauti hilo ndo jina lake, israeli ni jina la nabii yaaquub baba wa wana wa israeli na israeli ndo yeye mwenyewe, na maana ya israeli ni mja wa allah yaani abdullah kwa lugha ya kihebrania, sasa iweje malaika wa mauti avalishwe hilo jina lisilomuhusu.K
Kama haitwi Israel anaitwa nani?
Wikipedia anaenda kuandika mtu yeyote kwahyo wewe unaamini malaika wa mauti ndo huyo hapo kwenye picha, ushawahi kumshuhudia mtu akiwa anakufa? umewahi kuona sura inavyokuwa?.Malaika Mtoa Roho anaitwa Azrael
View attachment 3021237