Ni kweli kuna malaika anaitwa Israili ambaye ndiyo mtoa roho?

Hakuna ni izraili
 
Wikipedia anaenda kuandika mtu yeyote kwahyo wewe unaamini malaika wa mauti ndo huyo hapo kwenye picha, ushawahi kumshuhudia mtu akiwa anakufa? umewahi kuona sura inavyokuwa?.
Sio kuandika tu, na hiyo Wikipedia ni moja supporting evidence zipo nyingi hata kwenye Biblia, malaika wa kifo ni Azarel
Malaika wa Nuru ni Jegudel
Malaika wa Ulinzi ni Mikael
Malaika wa Habari njema ni Gabriel
Na wengine wengi
 
Azrael ndio jina lake
 
Kwahiyo ndiyo anawatoa roho pia ng'ombe,kuku,bata,samaki,simba,twiga,miti,nyoka,nk?usiishi kwa kukariri aisee jiongeze kichwani na akilini mwako
 
Kwahiyo ndiyo anawatoa roho pia ng'ombe,kuku,bata,samaki,simba,twiga,miti,nyoka,nk?usiishi kwa kukariri aisee jiongeze kichwani na akilini mwako
Yaani watu wengine uelewa ni shida Sana.

Hilo bandiko na ulichoandika vina mahusiano!??
 
Sio kuandika tu, na hiyo Wikipedia ni moja supporting evidence zipo nyingi hata kwenye Biblia, malaika wa kifo ni Azarel
Malaika wa Nuru ni Jegudel
Malaika wa Ulinzi ni Mikael
Malaika wa Habari njema ni Gabriel
Na wengine wengi
Mbona hakunaga Malaika mwenye jina la kibantu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…