Yaani matukio yote yaliyotokea leo umeshindwa kuandika hata moja ndo umeona uandike huu ukolokolo?Tabia ya mwanaume halisi anapowaza kitu cha kujifananisha nacho lazima atawaza kitu chenye pride. Mfano huwezi kukuta mwanaume anajiita swala.Atajiita Mamba,Simba,Chui au kitu chochote chenye nguvu na ubabe.
Wanawake wao ni rahisi kujiita pink,yellow au chocolate.Sasa hii tabia ya wanaume wanaoipenda yanga kwa sababu ya rangi na urembo wa jezi,ni wanaume halisi kweli?
Tuwaachie slay queens hizi rangi za yai,maana hata wadada wanaojielewa wanajiita majina ya pride siyo kupenda rangi rangi....