Ni kweli kuwa mwanaume halisi ni shabiki wa Simba?wanaoshabikia Yanga wanawaza rangi!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Tabia ya mwanaume halisi anapowaza kitu cha kujifananisha nacho lazima atawaza kitu chenye pride. Mfano huwezi kukuta mwanaume anajiita swala.Atajiita Mamba,Simba,Chui au kitu chochote chenye nguvu na ubabe.

Wanawake wao ni rahisi kujiita pink,yellow au chocolate.Sasa hii tabia ya wanaume wanaoipenda yanga kwa sababu ya rangi na urembo wa jezi,ni wanaume halisi kweli?

Tuwaachie slay queens hizi rangi za yai,maana hata wadada wanaojielewa wanajiita majina ya pride siyo kupenda rangi rangi....
 
Una umri gani mkuu

Huoni kama unadhalilisha watu,taasisi na vikundi vyote vyenye kuishabikia na kuisapoti Yanga

Acha matusi mkuu,na Kama ni utani huu si utani waombe radhi mashabiki na wapenzi wa soka mkuu

Simba na Yanga zinaburudisha,zinafurahisha hasa zile Tambo za hapa na pale iweje uje na bandiko lisilo na maana,jirekebishe mkuu
 
Tabia ya mwanaume halisi anapowaza kitu cha kujifananisha nacho lazima atawaza kitu chenye pride. Mfano huwezi kukuta mwanaume anajiita swala.Atajiita Mamba,Simba,Chui au kitu chochote chenye nguvu na ubabe.

Wanawake wao ni rahisi kujiita pink,yellow au chocolate.Sasa hii tabia ya wanaume wanaoipenda yanga kwa sababu ya rangi na urembo wa jezi,ni wanaume halisi kweli?

Tuwaachie slay queens hizi rangi za yai,maana hata wadada wanaojielewa wanajiita majina ya pride siyo kupenda rangi rangi....
Yaani matukio yote yaliyotokea leo umeshindwa kuandika hata moja ndo umeona uandike huu ukolokolo?

Hivi na wewe nae unajisifu mwanaume kwa kuandika huu ujinga[emoji3525][emoji3525][emoji3525] we ni shabiki wa Simba hasara
 
Back
Top Bottom