Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Unaona faida ya kumegana kabla ya kuoana?
Sisi hatukufanya hivyo, tulifanya ngono!...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona faida ya kumegana kabla ya kuoana?
ni ngumu sana kujua tabia halic ya mpenzi wako mpaka mtakapoanza kuishi pa1, hapo ndio utauona uhalisia wa mtu!...lakini kuna vile vitu vya kuweza kuonekana kaam ulevi kupindukia/uchafu nk lakini bado hapo hapo anaweza ku petend kwamba amebadilika kwa nia ya kukupata mkishaingia ndani vyote vnajirudia kama awali...heee
Wewe uko kwenye ndoa / utakuwa kwenye ndoa kwa sababu gani?
Nitajie japo mojamimi niko kwenye ndoa kwa ziadi ya sababu moja 😀
ni ngumu sana kujua tabia halic ya mpenzi wako mpaka mtakapoanza kuishi pa1, hapo ndio utauona uhalisia wa mtu!...lakini kuna vile vitu vya kuweza kuonekana kaam ulevi kupindukia/uchafu nk lakini bado hapo hapo anaweza ku petend kwamba amebadilika kwa nia ya kukupata mkishaingia ndani vyote vnajirudia kama awali...heee
Naomba utueleze mfano wa hizi tabia ambazo sio rahisi kuzijua kabla ya kuoana..........
Nimeikubali hiyo moja tu kwenye red. Nyingine zilizobakia unaweza kuzipata hata kama hauko kwenye ndoa.sababu zenyewe ni
mapenzi
kutimiza mahitaji yangu ya kiwiliwili ( muhimu sana hili kwa sababu siwezi kutenda zinaa)
Kutimiza mahitaji ya kiroho ( ndoa ni stara......dini inasema)
heshima kwa jamii ........
heshima kwa wazee .....
kutaka watoto...
na kadhalika na kadhalika
Wengi wanaoa au kuolewa kwa kutimiza wajibu kuwa na mm sasa nimeoa au nimeolewa.
Baada ya kipindi kifupi ndo moto unaanza kuwaka ndani ya ndoa.
Naona umegeuza namba hapo, huyo ataoa 2021.Ok.na wewe tueleze,nini kitakufanya uoe 2012?
Wewe uko kwenye ndoa / utakuwa kwenye ndoa kwa sababu gani?
ni pale atakapoanza kukurudia home maucku ya manane, lakini mwanzo alikuwa hana hiyo tabia, pale utakapoona mwenzio ana katabia ka kutopenda ndugu/jamaa zako nk, kuna vijimambo tu lazima wote wawili mtakuja kuviona mkiingia ndani...eg yeye ananiambiaga alinijua mie ni kichaa lakini hakujua kama ni cha kiwango cha juu kihivyo, ukichaa nilikuwa nao kuanzia mwanzo lakini nilivyoingia ndani kutokana na ishu za kifamilia tena ukichaa ukaongezeka tofauti kabla cjaingia ndani...yaani ucmtegeee huyu wa leo ndio atakuwa wa kesho.umenielewa hapo Charity?
Je, kuna umuhimu wa wapenzi kukaa pamoja (under one roof) kwa muda fulani, say, mwaka mmoja au miwili kabla ya kufunga ndoa, ili waweze kufahamiana tabia zao?
Dah! nimekuelewa sana sijui dadangu au mdogo wangu!!!!!!!!!!!......
Inavyoelekea kupata ndoa iliyotulia asilimia 90 tuseme ni bahati.(hizi 10% naziacha kwa kelele za ndugu na marafiki)
We mdanganye mwenzio tu....ukishatoa hiyo 10 ya mazagazaga, bac inawezakana kupata ndoa ya hivyo lakini ukijumlisha na vi ups&downs kibaooooo hapo, mnavisawazisha cku zinasonga!
sababu zenyewe ni
mapenzi
kutimiza mahitaji yangu ya kiwiliwili ( muhimu sana hili kwa sababu siwezi kutenda zinaa)
Kutimiza mahitaji ya kiroho ( ndoa ni stara......dini inasema)
heshima kwa jamii ........
heshima kwa wazee .....
kutaka watoto...
na kadhalika na kadhalika
Nimeikubali hiyo moja tu kwenye red. Nyingine zilizobakia unaweza kuzipata hata kama hauko kwenye ndoa.
We mdanganye mwenzio tu....