Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?



kitufe cha thanks sikioni ..........lakini japo kwa hapa nakupa ....THANKS
 
Ni kweli,lakini kwa maelezo ya Gaijin......ni mlokole kwa sababu alivumilia mpaka mwisho!..............
Hata mimi ningetaka ningeweza kukudanganya hivyo hivyo;

Laiti mioyo ingekuwa transparent, Laiti Kuta zingekuwa zinazungumza...................
 
Ndoa tunachukulia kama ni kutimiza wajibu zaidi kuliko ukweli kuwa ni kitu ambacho kinataka wakati wote kifanyiwe kazi ili kiweze kutoa matunda yaliyokusudiwa. Kwa bahati mbaya huwa hatutafakari sana ndo inahitaji nini zaidi ya kuchukulia mapenzi ya haraka haraka tunayopfanya. Watu wengine wanaweza kuwa wapenzi wazuri kama b/f na g/f lakini hawawezi kuwa wana ndoa wazuri. Ni watu wa kufurahiana kama wanachukua na kufanya hiki na kile kisha kila mtu anaenda na zake lakini sio kulala na kuamka kitanda kimoja day in day out. Mnachokana mapema na maudhi yanakuwa kibao.
 
To me Love has nothing to do with sex. Ndo maana nilimpenda mamito wangu kwa zaidi ya miaka mitatu ndo tukasex. Niliposex tu, hapo hapo nikatangaza nia. I got what I wanted!!

Hongera, ni wachache sana wanaiweza hiyo
 


niliolewa nikiwa 28 na mwanamme ana 31. na tulisubiri kwa mwaka na nusu mpaka kuoana. hatukufanya kwa sababu mimi niliamini ni dhambi na nilipohama kwetu kuishi nje ya nchi i was 19, mama yangu aliniusia nifanye yote lakini sio kitu hicho coz kitamfanya sad sana na atajutia kuniachia kuishi mwenyewe kama siwezi kujihifadhi.

so i needed to keep my promise to God and to her .......i guess

naweza kusema kitu kimoja ambacho kilisaidia ni kuwa huyo mwanamme tunajuana tokea ni watoto lakini urafiki hasa wa kufika kupendana tuliuanzia huko huko tulikokuwa tunaishi.

but nilikuwa siendi kumtembelea mjini kwake hata iweje................yeye ndio anakuja, na akifika afikie hoteli.

bila ya shaka yeye aliwahi kuwa na uhusiano na watu wengine, but mie ndo huyo huyo one and only .........
 
Hata mimi ningetaka ningeweza kukudanganya hivyo hivyo;

Laiti mioyo ingekuwa transparent, Laiti Kuta zingekuwa zinazungumza...................


hakuna sababu ya kusema uongo.................ningelikuwa nimefanya ningesema nimefanya, hakuna ninaemuogopa humu ati. na mengineyo niliyoyafanya nasema nimefanya sana tu, na najutia ............lakini hilo sijafanya.

but unaweza kuchukulia vile unavyopenda wewe....................haina dhara kwangu wala kwako
 


ndio nikasema cku hizi watu wanakuwa ki maslahi zaidi, wana petend mpaka imekuwa too much, huwezi kugundua haraka pendo la kweli na la uongo....wangu alishamaliza idara zote sasa akaishilizia hapo ambapo ndio kwa uanamke halic, mapungufu yangu aliyaona na akayakubali na ni mengine lakini sio hapo!..hata mie nilifurahi/shukuru kupata rafki wa kweli vingine ni vijimambo tu.
 

Gaijin nikupe hongera zako, kwa kweli mie niikuwa nimeshafanyaaaaa weee, najua wewe unaepukana na maswali kama" ex alikuwa cjui nini na nini" kuna vijiswali tu utaulizwa sie tuiowahi kutenda dhambi kabla ya ndoa.
 
nyamayao kwani vimasuala vya aina ile si nasikia inakuwa mwaka wa kwanza tu?! baada ya hapo mna cruise kama kawaida au?


ushauri wangu kwa wanaotaka kuepukana na masuala yanayokumba jamii ...........always be a trend setter ( watu wakufate wewe), ukiwa wewe mfataji trend tu utawaka.
 

G, hongera sana. Na kama uliweza kumudu haya unayoyasema, tena ukiwa huko ambako biashara ni huria kuliko maelezo, unastahili pongezi sana. Nakufagilia kwa nguvu zote.

Ushauri wangu...OMBA SANA NA TENA USICHOKE KUOMBA. Huwezi kujua itakutokea nini siku ukikosea ukapita hiyo njia ambayo ulimudu kuikwepa katika huo umri uliokuwa nao wa 28yrs. Wengi wetu tulishamaliza novel kibao kwa umri huo. Nadhani future inakuwa ya muhimu sana kwenye mahusiano kuliko past!
 

mie niliulizwaga mwanzoni kabisa..bfnd/galfrnd, lakini nilipokuwa ndani sasa, yule mwanaume alieniacha(mana niliachwa) ikatokea tupo mji mmoja kwenye kutafuta maisha, akaanza usumbufu wa hapa na pale, mpaka mr akahic kitu fulani hivi, nikasema ngoja nijitoe kimasomaso kumwelezea kwamba mhucka alikuwa ni huyu na sasa anaanza kusumbua fulani hivi(lilikuwa kosa kubwa kusema) nilikuwa siendi mahali bila mr/mtu wa ziada, nilikuwa cna uhuru/amani kabisa, mpaka ikatokea cku moja ishu imeniletea kasheshe, mana alieniacha alikuwa anacctiza mie nilikuwa chaguo lake sema shetani alimpitia so kwa gharama yoyote ananirudisha kwenye himaya yake, sasa hapo ilikuwa nikitoka ofcn huyu hapa, cku moja natokea supermarket mie cjui kama mtu ananiwinda mara huyu hapa kaanza kunivuta akitaka apate hata dk chache tuongee kdgo, mr yupo parking anaona kila kitu...nickuelezee kilichotokeaa, ctaki kukumbuka kabisa.
 
FL1,

Samahani nimepost-ndani-ya-post yako

Mtizamo wako ni sahihi, mimi nimeweka percentage in RED

 

Pole jamani:

Waswahili wanasema "Awali ni Awali"!
 
Hahahaha! dada yangu bana...... Ulimpa nini huyu mtu mpaka akakuganda hivyo. Si lazima usemee hapa, twende kwenye PM.
 
nyamayao pole lakini hongera at the same time..........huh mwenzetu ushawahi kuwa na stalker wako binafsi! wenzio wanaitafuta bahati kama hiyo! lol

ndugu yangu ndoa sio nyepesi kihivyo, kila mtu anakutana na msalaba wake...................kama alivyosema dark city tuzidishe kuomba tu kwa mungu atuepushie vitu vyengine, yaliyopita hayana umuhimu sana katika ndoa, kuelekea mbele ndio kasheshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…