Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

unajua niliolewa mdogo kwa kweli, na nilikuwa cna akili ya ziada ya kujua ndoa haswaa, nimeng'ang'ania nampenda kijana! nimeingia nikaanza na kashikashi za kifamilia(mara wifi, mara mama mkwe)...nilikomalia hapo, nilipambana/nitaendelea kupambana, cpo tayari kumpoteza kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.....sasa hivi nimepumua sana baada ya kumaliza hizo ghasia haaa!
Hahahaha! Na wewe wadogo wenzako walikuwa wanasoma we unakimbilia kuolewa. Ulikuwa unakimbilia nini kwenye kuolewa? Sore ofu topiki
 
Hahahaha! Na wewe wadogo wenzako walikuwa wanasoma we unakimbilia kuolewa. Ulikuwa unakimbilia nini kwenye kuolewa? Sore ofu topiki

cjamaliza hata chuo hapo ujue eehh, jamaa kuni engage bac ckutaka kucheza mbali..lol...ucniulize hata nilikuwa nina haraka gani mana nilikuja kuwa nae mbali kwa muda mrefu.
 
niliolewa nikiwa 28 na mwanamme ana 31. na tulisubiri kwa mwaka na nusu mpaka kuoana. hatukufanya kwa sababu mimi niliamini ni dhambi na nilipohama kwetu kuishi nje ya nchi i was 19, mama yangu aliniusia nifanye yote lakini sio kitu hicho coz kitamfanya sad sana na atajutia kuniachia kuishi mwenyewe kama siwezi kujihifadhi.

so i needed to keep my promise to God and to her .......i guess

naweza kusema kitu kimoja ambacho kilisaidia ni kuwa huyo mwanamme tunajuana tokea ni watoto lakini urafiki hasa wa kufika kupendana tuliuanzia huko huko tulikokuwa tunaishi.

but nilikuwa siendi kumtembelea mjini kwake hata iweje................yeye ndio anakuja, na akifika afikie hoteli.

bila ya shaka yeye aliwahi kuwa na uhusiano na watu wengine, but mie ndo huyo huyo one and only .........
yaaaaani endelea hivyo,MUNGU AKULINDE,siku ukaja iba,ukaonja wanaume wengine wakoje,.................ni BALAAAAAA hugeuki nyuma,watu kama nyie ni wazuri sana na ni ...............MWOMBE MUNGU SANA AKULINDE.
 
bht ulikuwa na lunch ndefu au? ..............ndo arijojo hiyo tena!
 
JADILI..
Hii ni mada inayojadiliwa Star TV.Mawazo yanayotolewa yanatisha..

Food for thought "NO ONE falls in love by choice, it is by CHANCE. No one stays in love by chance, it is by WORK. And no one falls out of love by chance, it is by CHOICE." ...author unknown
 
Hahahaha! Na wewe wadogo wenzako walikuwa wanasoma we unakimbilia kuolewa. Ulikuwa unakimbilia nini kwenye kuolewa? Sore ofu topiki

Kuwahi nako kuna raha zake.Unaua ndege wawili kwa jiwe moja.na badae unajipumzikia wakati akina bht wanahangaika kutafuta kitchen party.
 
tunamuomba mungu atuliende na atuepushe ................lakini inabidi na sie wenyewe tuongeze na juhudi zaidi ya kuomba Mungu tu. Mungu anasema mwenye kujitahidi atafanikiwa.

kuna mtu mwengine anajijua hasa kuwa yeye japo ana mume/ mke yuko attracted kwa mtu fulani..............badala ya kumuepuka ndio utaona haishi kujisogeza!

au kuna mwengine anajijua fulani ana mke lakini atasema 'kampenda' badala ya kumuepuka ndo atazidi kumfuatilia . (da Sophie)

tuongeze juhudi wakuu ......................
 
bht ulikuwa na lunch ndefu au? ..............ndo arijojo hiyo tena!
G afu umenisuuza na hiyo post yako...........ulikuwa so so fresh best yangu dah!! hapo sina usemi tena

aaah bana weee hata lunch sijapata nilienda kuapishwa mahakama kuu ujue leo wee acha tu..........fulu kujipangusa wikend hii lol!!!
 
Kuwahi nako kuna raha zake.Unaua ndege wawili kwa jiwe moja.na badae unajipumzikia wakati akina bht wanahangaika kutafuta kitchen party.

hapo hujanitendea haki hahaaaaaa lol!!!
nina aleji na hiyo kitu ulotaja Charity and u definately know that...........
kuwahi raha sana bana hasa ukipatia, Nyamayao my dearest hapo ulicheza kama pele
 
bht mambo yako mazuri ............umeenda kupewa lile jokho jekundu! lazima lunch usiitake 😉
 
G afu umenisuuza na hiyo post yako...........ulikuwa so so fresh best yangu dah!! hapo sina usemi tena

aaah bana weee hata lunch sijapata nilienda kuapishwa mahakama kuu ujue leo wee acha tu..........fulu kujipangusa wikend hii lol!!!

bht mambo yako mazuri ............umeenda kupewa lile jokho jekundu! lazima lunch usiitake 😉

hapo hujanitendea haki hahaaaaaa lol!!!
nina aleji na hiyo kitu ulotaja Charity and u definately know that...........
kuwahi raha sana bana hasa ukipatia, Nyamayao my dearest hapo ulicheza kama pele
:biggrin1::biggrin1: Mammushka kuna haki yangu moja umeninyima hapo?:jaw::jaw:
 
NDOA samtaimu ni MAJARIBU , kama wiki 5 zilopita kuna mdada wa hafu kasti alikuja kumtembelea waifu, haki ya nani nilitokwa na jasho mpaka waifu akanishtukizia.

eee muumba ilinde ndoa ya klorokwini (tusemeni amen)
 
Hapa tunamjadili Woman Of Substance.

Kamwaga sredi afu kasepa. Kila mtu anaota uzoefu wake. Hatujui kama tuko ofu topiki au laa.
dah!
hapa naona nimechemsha....
manaake hamna ninachokielewa
 
NDOA samtaimu ni MAJARIBU , kama wiki 5 zilopita kuna mdada wa hafu kasti alikuja kumtembelea waifu, haki ya nani nilitokwa na jasho mpaka waifu akanishtukizia.

eee muumba ilinde ndoa ya klorokwini (tusemeni amen)
ha ha ha ha ha!
naona kommenteta umeshakuja ready for the attack

TUPEANE POLE KWANZA.........!maanake ile ''adui muombee njaa ya jana haikufanikiwa'':biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
NDOA samtaimu ni MAJARIBU , kama wiki 5 zilopita kuna mdada wa hafu kasti alikuja kumtembelea waifu, haki ya nani nilitokwa na jasho mpaka waifu akanishtukizia.

eee muumba ilinde ndoa ya klorokwini (tusemeni amen)

AMEEEN

pole sana klorokwini ..............si ungeliondoka ukumbini na wewe! mbona unajitia majaribuni kihivyo!
 
NDOA samtaimu ni MAJARIBU , kama wiki 5 zilopita kuna mdada wa hafu kasti alikuja kumtembelea waifu, haki ya nani nilitokwa na jasho mpaka waifu akanishtukizia.

eee muumba ilinde ndoa ya klorokwini (tusemeni amen)
Hahahaha! Naona umepona sasa?

Vipi ilikuwaje ikawa hivyo adui wa parasaiti?
 
hapo hujanitendea haki hahaaaaaa lol!!!
nina aleji na hiyo kitu ulotaja Charity and u definately know that...........
kuwahi raha sana bana hasa ukipatia, Nyamayao my dearest hapo ulicheza kama pele

halafu nimepumzika ndio mtu anataka kuniharibia, watu nadhani wamechoka kuishi kwa kweli....lol...hivi bht na wewe utahitaji tena KP? kusanya hizo pesa muanzie maisha., labda uniambie kama unahitaji makorokoro lakini sio kufundwa.
 
Back
Top Bottom