Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Hahahaha! Na wewe wadogo wenzako walikuwa wanasoma we unakimbilia kuolewa. Ulikuwa unakimbilia nini kwenye kuolewa? Sore ofu topikiunajua niliolewa mdogo kwa kweli, na nilikuwa cna akili ya ziada ya kujua ndoa haswaa, nimeng'ang'ania nampenda kijana! nimeingia nikaanza na kashikashi za kifamilia(mara wifi, mara mama mkwe)...nilikomalia hapo, nilipambana/nitaendelea kupambana, cpo tayari kumpoteza kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu.....sasa hivi nimepumua sana baada ya kumaliza hizo ghasia haaa!