heheheeh wewe msaliti bana uliingia mitini ikabidi wakereketwa wa uingereza waniwekee sanction kwenye ile sredi, lakini GHANA alirejesha tabasamu hewani , jana kwa mara ya kwanza majirani niliwapatia offer ya
ugali wa bure.
hehehe kuna majaribu mengine huwa wanaume tunayapendaga na tunayaenjoy , lakini bahati mbaya waifu alipogundua supu likaingia mjusi lakini tushamtoa.
hehehe ni habari ndefu mkuu ,
kweli kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha (nimesibitisha hiyo)[/QUOTE]
Mhhh, hiyo offer ya ugali waliipokea?
Hii ni mpya ya mwaka 2010 (blue)
Kama ndivyo basi ndio maana MOKOYO; FIDEL80; etc bado hawajawa na ndoa.
Ila inaonyesha ndoa zina vijimambo maana jana NYAMAYO kacomment somewhere kuwa kwenye ndoa hakulimwi dhahabu na SHISHI naye akaja na lake akasema hata changarawe hakuna labda kuna makaa ya mawe.
lakini ebu tumuulize TEAMO ambaye bado hajafikisha mwaka kwenye ndoa yake yeye anaonaje, ndoa ina lipi tamu au chungu kuliko useja?
lakini pia siyo mbaya PAKAJIMMY na CHRISPIN pamoja na NGULI wakatupa uzoefu wao kwenye miaka waliyokaa kwenye ndoa wanaweza kutueleza nini lililo tamu ambalo kuliko ubachela?
pia siyo mbaya kwa akina mama kama vile FL1, WOS na MAMA JOE wakatupa uzoefu wao.
NB: wadau wanaweza kusema nimetoka nje ya mada ila hapana kupitia majibu ya hawa wachache walioko kwenye ndoa majibu ya mada yatakuwepo kabisa. Ngoja tuone majibu yao
Mbona watu wamemwaga uzoefu wa kutosha, au umeogopa kurasa (hii ni page 10)!