Ni kweli kwamba biashara ni ngumu kipindi hiki?

Halidi Haji

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
53
Reaction score
18
naomba kuuliza wana jamvi kwamba nikweli kwasasa uchumi umekua mgumu kama wengine wanavyolalamika au nimzunguko wa maisha ya mtu tu
 
Wateja wamepungua maana mzunguko wa pesa ni mdogo sana.
 
naomba kuuliza wana jamvi kwamba nikweli kwasasa uchumi umekua mgumu kama wengine wanavyolalamika au nimzunguko wa maisha ya mtu tu
hakuna masika isiyokuwa na mbu. hakuna masika ambayo hari huwa rahisi daima.

kwanza january huwa mwezi dume cku zote. sikukuu huwa zimekomba kila mfuko wa mtu.

yaani viwanda vya nguo na vile vya vinywaji ndo huwa wanabaki na stock yakutosha ya fedha ktk kipind hichi.

wanabaki na stock tu, mauzo nao kwa sasa wanakuwa ktk crisis. they just remain the strong firms as a result of the December boom.

sema wabongo ktk hari kama hii miaka kama hii reference na lawama zote nikwa Magufuri.

Juzi mtaani kwetu kuna dada mmoja kanunua nguo ya ndani ikambana, alisikika akisema, " [HASHTAG]#yaani[/HASHTAG] Magufuri huyu?"#

Kwaiyo ndugu yangu, mambo yako hivyo.

Mimi si mwanauchumi. nimechangia in reference to the society i dwell in.
 
asante sana kaka nimefurahi kwa majibu yako umejibu ndivyo
 
Ushauri wangu Inategemea na unachuza. Kma tz unaona hakuna wateja uza nje ya nchi.
 
Ni kweli mwezi January unakuwaga mgumu miaka yote ila mwaka huu ni nouma umezidi kwa ugumu, kila nikipita maeneo ya biashara naona pamepoa, hadi dar foleni barabarani zimepungua
 
Dah... Hiki ni kipindi cha kilimo cha kilimo sehemu kubwa ya nchi yetu... Sisi wauza pembejeo tunapiga hela ndefu daily.... Nyie subirini wakati wa mavuno[emoji12] [emoji12]
 
JF kuna watu watoto sana humu. From the tone of the people's reasoning in here. U can tell huyu mleta mada bado kinda sana. Hata nyembe si ajabu hajaanza tumia.

Hebu, F*ck Outta Here !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…