Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

Mimi ui/ux designer pia developer. Kama mtu yupo serious tufanye kazi. Na tupo wengi tu ambao tupo vizuri lakini tumekaa kimya tu. Tunapiga kazi.
 
Mimi ui/ux designer pia developer. Kama mtu yupo serious tufanye kazi. Na tupo wengi tu ambao tupo vizuri lakini tumekaa kimya tu. Tunapiga kazi.
Umeiona ile design ya kule ilivyo ? Naona sijui wamenisikia wameondoa button na muda wamesogeza Mbele

404: Page Not Found
 
Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje brothers hivi hatuna sisi kweli hatuna watu walioiva kwenye masuala ya SE, CS, IS & CE hivi kweli good UX/UI Developers hapa kwetu jamani mpaka tunatengenezeana vituko humu mitandaoni brothers au ndio copy & paste templates then modify hadi huko juu ? Well fine nimeona umeijenga from scratch but ipo na poor design, design yake ni mbovu sana muonekano mbovu havutii users

Nikuelekeze kitu badirisha padding up & down ili upate muonekano mzuri kwenye header maana natamani niseme Ila sina pa kusema kingine kwenye body padding left & right badirisha ili upate muonekano mzuri

Kingine unawekaje link kote Ila kwenye tukio muhimu unaficha link wewe tukueleweje wewe kwanini unaficha link wewe ?

Si bora mara 100 ungeweka 404 tujue moja au button usingeiweka kabisa tusisumbuane

Message sent
Mkuu hawawezi kukupa kazi kwa kuwakosoa, wanawaamini waliopo
 
Mkuu hawawezi kukupa kazi kwa kuwakosoa, wanawaamini waliopo
Yes mkuu ndio hivyo, nimejipa kazi ya kuwaambia makosa yao I wish ningewafanyia kazi kwa kujitolea

404: Page Not Found
 
Back
Top Bottom