Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

Ni kweli kwamba kupata ajira GardaWorld Security sasa hivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid?

Muddy123

Member
Joined
Nov 6, 2022
Posts
25
Reaction score
16
Naskia kupata ajira Garda Security saivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid...hivi nikweli ?!!
 
Toa ufafanuzi. Unaandika uzi mfupi kama mkia wa kondoo tukueleweje sasa?!
 
Garda security ndo nini na ni lazima kuajiriwa huko??? Kama wewe hujui sisi wasiotuhusu tutajuaje
Naskia kupata ajira Garda Security saivi lazima uwe na cheti cha Chanjo ya Covid...hivi nikweli ?!!
 
Leta hyo connection m nina chet cha Covid-19 nianzie wap?
 
Hawa jamaa wana gari lao moja hapa Mwanza huwa linakokota kigari kingine kwa nyuma naskia ni cha kubebea mbwa, aisee wanaendesha gari vibaya mno.
 
Back
Top Bottom